Daktari Wa Injili💉💊📖

26.5K posts

Daktari Wa Injili💉💊📖 banner
Daktari Wa Injili💉💊📖

Daktari Wa Injili💉💊📖

@Gudboyzed

◾Dhamiria kumtumikia MUNGU💪🏾 | Usiache Kusoma Neno la MUNGU hata uzidiwe kiasi gani📖 | Usiache KUOMBA hata kama huwezi kuongea🙏🏾.

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Temmuz 2015
2.8K กำลังติดตาม14.5K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Daktari Wa Injili💉💊📖
Wanaume tuwe makini 👇👇👇👇👇👇👇 KUCHAGUA MCHUMBA (Mke) 1: awe mcha Mungu 2: awe waimani kama yako 3:mkarimu 4: mchapakazi 5:mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu 6:asiye mgomvi 7:awe safi kiroho na kimwili pia 8:mwenye mapambo ya rohoni
Indonesia
73
59
539
0
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kama hujali next user wa choo umetoka kutumia wewe ni mtu hatari
Indonesia
14
42
450
12.7K
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
Coco Love 😇
Coco Love 😇@Cocolovemimi·
Kubali lawama then ondoka zako, potea kwenye maisha yao kama vile hawapo hai tena... utanishukuru baadae...... 🤝
Filipino
9
29
124
1.3K
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
That_girl _ Tee🌹❤
That_girl _ Tee🌹❤@IamTgabby·
Muda mwingine jifanye tu mjinga mambo mengine yaende ...
Indonesia
8
17
65
894
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Roho inaniuma sana bandugu.. Kuna mwanetu humu kiukweli anajitahidi mno ku engage kwenye post karibia zote,ila yeye akipost ni like 3-7 na rt2-5,muwe na fair wazee💔
Filipino
61
54
248
6.4K
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
Daktari Wa Injili💉💊📖
Sabato si tu kupumzika mwili, bali ni muda wa kuimarisha uhusiano wetu na Mungu, kuacha shughuli za kila siku, na kutafakari mema yake.... 📖 “Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.” Kutoka 20:8 Ni siku ya amani, ibada, na kurejesha nguvu kimwili na kiroho. SABATO NJEMA KWENU❤️🧎🏾
Indonesia
1
1
3
33
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Happy Sabbath FAM🖐️🖐️🖐️🖐️
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
English
14
23
52
798
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Dalili nyingine kubwa ya umasikini ni kuweka kikao kifupi na kondakta kabla hujapanda daladala..🤣🤣🤣
Indonesia
42
76
511
15.5K
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Ni wale tu wanaokujali wanaoweza kukusikia unapokuwa kimya.
Indonesia
12
60
232
2.6K
Daktari Wa Injili💉💊📖
Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. Zaburi 121:7,8
Filipino
0
0
1
30
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
Dr Makumba
Dr Makumba@makumbawaleo_5n·
Mwanaume ukiwa hauna hela ni watu watatu tu watakuelewa. Wewe mwenyewe, Mama yako Mzazi na Mungu! Ukizipata usiwahau hao watatu! 😁
Indonesia
48
158
959
16.9K
Daktari Wa Injili💉💊📖 รีทวีตแล้ว
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
“Wala msiifuatishe namna ya dunia hii, bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu.” Warumi 12:2
Indonesia
1
22
103
1.2K
Daktari Wa Injili💉💊📖
Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu. Mithali 3:24
Filipino
1
0
6
51