ทวีตที่ปักหมุด
Ivona kamuntu
22.3K posts

Ivona kamuntu
@IvonaKamuntu
Chief Anchor Uhai productions - (AZAM TV).Instagram; http/www.instagram.com/ivonakamuntu. Alumni @usembassyTz. Co host JLW @voaswahili. @WanifraWIN
Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Kasım 2012
398 กำลังติดตาม54.2K ผู้ติดตาม

@IvonaKamuntu jitafakari.
Huu siyo wakati wa kuchezea wananchi
Indonesia
Ivona kamuntu รีทวีตแล้ว
Ivona kamuntu รีทวีตแล้ว
Ivona kamuntu รีทวีตแล้ว

Babu Owino: I’ll run for Nairobi Governor with or without ODM’s backing zurl.co/yqhqm
English
Ivona kamuntu รีทวีตแล้ว

US attorney general told Trump that his name is among many in the Epstein files, WSJ reports reut.rs/4lPiSzE reut.rs/4lPiSzE
English
Ivona kamuntu รีทวีตแล้ว

MUNGU BABA WA MBINGUNI AENDELEE KUKUPA PUMZIKO LA AMANI BABU.
Niwe muwazi sikugundua endapo nimemuita Richard Ngaila(Charles) ni @nurdinselemani alinishtua mwishoni kabisa.
Namshukuru MUNGU kwa maisha ya Charles, pia kuniletea kijana aliyeamua kufuata ndoto yake kwasababu yetu
Indonesia
Ivona kamuntu รีทวีตแล้ว

Salaam Ndugu Zangu,
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na leo kupata nafasi ya kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kama Waziri mwenye dhamana.
Bajeti ya Wizara ya kilimo imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi Shilingi Trilioni 1.248 mwaka 2024/2025 sawa na ongezeko la asilimia 324.49;
ii. Ukuaji wa sekta ya kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa sekta ya kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka 2025 na asilimia 10 mwaka 2030;
iii. Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kutoka Dola za Marekani Bilioni 1.2 mwaka 2019/2020 hadi Dola za 13 Marekani Bilioni 3.54 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 195.
Endelea kufuatilia #BajetiYaWakulima leo 21 Mei na kesho 22 Mei 2025.
Tunasonga Mbele.
Indonesia

Karibu sana kwenye habari ya AzamTV, Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
See this Instagram post by @richardngailla instagram.com/p/DJ2PtlQqhPD/…
Indonesia

Nitakukosa sana, Pumzika Kwa Amani. instagram.com/reel/DJoYuFvSk…
Suomi

Furaha yako nitaendelea kuienzi 🙏instagram.com/reel/DJkDtIHpV…
Filipino

Nitatangaza leo, huzuni yangu nitaigeuza kuwa furaha uliyonifundisha na kutaka niwe wakati wote, ili moyo wangu usisinyae, nitatanguliza tabasamu langu likawe faraja kwa wote tutakaokukosa duniani, wakati huu nikijiandaa kukuaga babu Jumatano.
#Babuuuuu
Indonesia

Daima utabaki moyoni mwangu babu. 🙏 instagram.com/p/CHOE5pAh8eL/…
Indonesia










