

MTEINATION
704 posts

@Johndidasmtei
|Tanzania International Health Diplomat | Pharmacist | Ireland Fellowship Programme Alumni| IUHPE Health promotion Specialist |




‼️ T A A R I F A ‼️ ▪️Hospitali ya Temeke Kufanyiwa Uchunguzi wa Utendaji










WaAfrica Bado sio watu wa Kusafiri kwenda kuzishabikia Timu zao za Taifa Kwenye Michuano, So Kama Host Nation wananchi Wake sio watu wa kwenda Viwanjani Kuangalia Mpira Kama Timu zao Hazichezi; Matokeo yake ndio haya sasa, game ya Mau n Mad Uwanja Mweupe!!







Kwa technology ya sasa, sidhani kama kweli wameshindwa kutengeneza universal glucometer, wameamua kufanya biashara kwanza 😐😒








#Bungeni: Akichangia Bajeti ya Wizara ya Elimu, Mbunge wa Kuteuliwa (CCM), Shamsi Vuai Nahodha ameweka mkazo kwenye uhusiano wa kile kinachofundishwa darasani na uhalisia wa maisha. Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaTV #EastAfricaTV #Bungeni #HainaKuchoka #EATV2025



Mnaambiwa nilikuwa naishi maisha ya kawaida kabisa na mna amini. Baba kawa Raisi katolewa halls of residence na kapewa SECURITY na dereva wakumpeleka UDOM. Waulizeni watoto wa Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete kama walipatiwa SECURITY na DEREVA!
