lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson
36.5K posts

lightness wilson รีทวีตแล้ว

Aisee, hii inaitwa hakuna wa kunifanya kitu na sijali.
Watanzania nawaita mara 3, nchi imetekwa na majangili ni lazma kila mtu ajitoe. Hakuna namna.
Hii haina u CCM tena wala uChadema tena. Huu ni wakati wa Watanzania woote kuungana ili tuwaondoe hawa mashetani madarakani.
Aiseee, mnajua kimama hana aibu wala hajui vibaya. In short she doesn’t care anymore. Kaamua kuifirigisa nchi. Na bado kuna Mitanzania yenye low IQ inadhani kuna katiba mpya atayoleta huyu mtu..
Kibaya zaidi kuna Watanganyika bado wanaendelea na uchawa sababu ya kuendekeza njaa za kijinga.
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai
Sister @mangekimambi amkaaaa 😁 Angela Kizigha kateuliwa kuwa mbunge na shostiake @SuluhuSamia Ila jamani hawa kweli wanatuonaje!? Nyie @ccm_tanzania wa Tanganyika mliopo huko mna shida si bure Eniwei hakuna deka - aluta continua! #TutaelewanaTu
Indonesia
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว

Sister @mangekimambi amkaaaa 😁
Angela Kizigha kateuliwa kuwa mbunge na shostiake @SuluhuSamia
Ila jamani hawa kweli wanatuonaje!?
Nyie @ccm_tanzania wa Tanganyika mliopo huko mna shida si bure
Eniwei hakuna deka - aluta continua!
#TutaelewanaTu


Indonesia
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว

Si mchezo 😁👊🏽
Tundu Lissu is ANTIFRAGILE
Fanyeni utafiti maana ya hii sifa! Ni mtu au kitu ambacho kikipata stress yaani misukosuko si tu inahimili bali INAIMARIKA na kuwa bora zaidi!
That’s what Lissu is! Challenges make him better and stronger
Leo ni LARGER THAN LIFE inside and outside Tanzania
Kimama chenu kingekuwa na busara angemwachia zamaniii! Tatizo anaona kama ligi zile za michambo za taarab eti ndo anamkomoa! Hivi hakuna wa kumshauri maana alishashauriwa ye hataki eti!?
Nashauri Jaji Mkuu Masaju na majaji @judiciarytz wasimame kwenye haki na kuDISMISS the case! DPP atajibeba! Okoeni Taifa - kabla mambo hayajazidi kubumbuluka! Mi nawapa last benefit of doubt! Do the right thing!
#FreeTunduLissu

Indonesia
lightness wilson รีทวีตแล้ว

Wakongwe wa Twitter Republic tupewe heshima yetu 🤣 tulimpandisha kisukari mapema kimama!
Vijirepublic tumo!
Siku hizi kuna republic ya Instagram, republic ya Tiktok 😁😁
Kiukweli hawatupendi hawa madhulmat but it’s ok! Hatuhitaji watupende ila wasituteke, wasituue, wasitutese - watusikilize!
Eniwei leo maoni tofauti ni uhaini eti!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Indonesia
lightness wilson รีทวีตแล้ว

Mahakama Nchini Burkina Faso imemhukumu Waziri wa zamani wa Masuala ya Kiutu, Laure Zonga, kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya wizi wa fedha za umma, kujitajirisha kwa njia haramu pamoja na utakatishaji wa fedha.
Kwa mujibu wa taarifa za Mahakama, Zonga alihusishwa na ubadhirifu wa kiasi cha faranga milioni 35 za CFA, ambazo ni sawa na takribani dola za Marekani 61,400. Fedha hizo zinadaiwa kupatikana au kutumika kinyume cha sheria wakati akiwa madarakani, jambo lililosababisha uchunguzi na hatimaye kufikishwa Mahakamani.
Hukumu hiyo imekuja katika kipindi ambacho Uongozi wa Burkina Faso chini ya Ibrahim Traore umeweka mkazo mkubwa katika kusafisha mifumo ya utawala na kuwajibisha Viongozi wanaohusika na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
Mbali na mapambano dhidi ya ufisadi, Rais Traore ametaja pia vita dhidi ya Wapiganaji wa itikadi kali, rushwa na utawala mbovu kuwa miongoni mwa vipaumbele vyake vikuu katika kuimarisha usalama, uwajibikaji na utendaji wa Serikali.
#MillardAyoUPDATES.

Indonesia
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว

Afya ni uhai, na kila mtoto anastahili kulindwa.
#WatotoWenyeUalbino wanahitaji huduma muhimu ili kuishi kwa usalama:
☀️ Kinga dhidi ya jua
🧴 Mafuta ya ngozi (sunscreen)
👁 Huduma za macho
Hizi si huduma za ziada tu, bali ni mahitaji ya msingi.
Ni wajibu wa serikali na wadau kuhakikisha huduma hizi zinapatikana kwa wote, bila ubaguzi.
#HakiJumuishi

Indonesia
lightness wilson รีทวีตแล้ว
lightness wilson รีทวีตแล้ว

"DPP na serikali pumzi imewakata, sasa wanakimbilia kwa Jaji Mkuu kujinusuru! Lissu amewabana kisheria mpaka wameishiwa hoja. Vituko hivi ni ishara ya mwisho wa mchezo. CCM tanzania, suluhu ni moja tu: #FreeTunduLissu na #SamiaMustGo. Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono—mnachelewesha yasiyoepukika tu. #TutaelewanaTu ✊🏾"

Indonesia


















