9INE6IX🇩🇰

9.7K posts

9INE6IX🇩🇰 banner
9INE6IX🇩🇰

9INE6IX🇩🇰

@Mdenmark96

@SimbaScTanzania, @RealMadrid

africica เข้าร่วม Nisan 2022
2.3K กำลังติดตาม1K ผู้ติดตาม
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Simba wanatakiwa kufanya nini kipindi cha pili???
WHYMYCATISSAD tweet media
Filipino
7
4
106
3.6K
Balyx
Balyx@Balyx_·
Nchi kama Oman 🇴🇲 huwezi isikia kwenye hizi mbanga. Yaani wao hawana habari
Indonesia
20
9
423
23.6K
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Mikoa Ambayo haina Njaa TANZANIA. 1. RUKWA 2. Tanga. 3. Bukoba. 4. Mbeya. 5. Manyara 6. Kigoma 7. Mwanza. Tuongeze Mkoa Gani..?
Filipino
86
21
236
17.4K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Babe mbona unaweka Sabufa kwenye gunia..😂
kasesco☆ tweet media
Indonesia
56
68
497
18K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Wenye maduka makubwa huwa wanafanyaje ili wakumbuke bei ya kila bidhaa? 😁
Indonesia
49
37
556
35.2K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
WALEVI WA ILE BAR wanadai 2015 msanii mkubwa wa Bongo Fleva alikataa ofa ya miloni 50 ya show wakati Mbunge wa Singida ‘Tajiri wa mpira’ aliopukuwa anafanya event ya kuwaaga wanancho wake alipostaafu ubunge. Alikataa show sababu ilikuwa kupindi cha mfungo wa Ramadhan! Yoooooh!
SANUKAnaCHAPO tweet media
Indonesia
32
28
655
45.2K
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Twitter madalali nahitaji chumba cha <50,000 kiwe karibu na njia ya mwendokasi au karibu na kariakoo sina hela ya udalali 🙏
Indonesia
37
24
269
23.7K
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Vitunguu Kilo moja Sokoni ni Elfu 2, Nyanya sado moja sokoni ni Elfu 5, karoti kilo elfu 2.. Mtaani Kitungu kimoja 200/= kilo moja unapata vitunguu 30 = 6000/= Kilo 5 gengeni unapata 30,000/= (Kilo 5 umenunua elfu 10 faida elfu 20), ivo ivo kwa nyanya. Kwanin Haufungui genge.
Indonesia
12
6
104
6.4K
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
UKIWA NA 60,000 TU UNAWEZA KUFUNGUA MGAHAWA NA UKAPATA FAIDA YA 40,000 KWA SIKU.
Indonesia
31
9
122
9.6K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Kwa 60,000 unaweza kununua: Unga Mafuta Mkaa/gesi Viungo Unaweza kutengeneza chapati 200 kwa siku Uza chapati moja 500 TZS. Mapato = 200 × 500 = 100,000 kwa siku Gharama za siku = 60,000 Profit = 40,000 kwa siku 40,000 × 30 siku = 1,200,000 kwa mwezi Kwa mwaka =14,400,000 TZS
Indonesia
39
29
208
18.1K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Ameandika Jackline Mwigizaji Jackline Wolper ✍️👇 “Napenda sana kusikia swala, kaswida ya ki islaam Nasisimkwa Nafurahia, Nakumbuka hadi Nilitamani wanangu waijue hii Dini pia ikiwemo na ya kwao, sjui Nakosea? sjui Ni Nini?.” “But some Time hadi Nalia kwa hisia👇
MeaMswahili tweet media
Filipino
10
4
95
7.7K
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
Nchi ya ajabu sana hii kwamba huyu ndo anawamotivate kuhusu kubeti kuwa mtafanikiwa? Nchi imejaa wengi wapumbavu ikiwemo na huyu punter wa mchongo kuwa betting ni ajira kumbe ni usenge 🚮🚮 Achen betting. Acheni betting. Acheni betting
OSAMA BIN LADEN tweet media
Indonesia
15
4
25
1.3K
9INE6IX🇩🇰
9INE6IX🇩🇰@Mdenmark96·
@Adventure_36 Kaka hapo dar huwa manatakaga nini mvua au jua jua mnalalamika ikija mvua mnalalamika 😂😂😂
Indonesia
0
0
0
14
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Dar jua ni kali sana Mungu awatie nguvu wote wanaofunga alafu shughuli zao lazima apigwe na jua ili maisha yaende. Sio mchezo
Filipino
3
16
132
2.1K