Paul Bonaventure

41.7K posts

Paul Bonaventure banner
Paul Bonaventure

Paul Bonaventure

@Phbhimself

|| PEACE MAKER ✌🏿 || Author | A human. Being. | Meditation & Energy-Based Teacher 🧘‍♀️| HipHop🎶 |

Somewhere in Africa เข้าร่วม Ocak 2015
2.9K กำลังติดตาม50.6K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Watu wengi wamekuwa wakijifunza meditation tangu karne na karne, miaka na miaka. Sio kitendo kilichoanza hivi sasa bali ni kitendo kilichoanza tangu zamani na kimekuwa na faida mbalimbali kwa watu waliojifunza na kufanya taamuli. Wengine ni kutokana na kupunguza stress, kujifunza kuongoza akili zao, kuachana na mazoea wanayoshindwa kuyaacha na kutokana na kuongeza hekima ya kiimani. Ningependa kuelezea faida chache nzuri ambazo zinapatikana pale mtu anapofanya taamuli vyema na kwa mara kwa mara. • Taamuli (Meditation) inasaidia kutengeneza furaha ya ndani. Tunaposema furaha ya ndani tunamaanisha nini? Ni furaha unayotembea nayo wakati wote. Ni furaha isiyotegemea maisha yako yapoje, ni furaha isiyotegemea una vitu gani bali ni furaha inayopatikana ndani mwako. Wengi hupata furaha kutokana na hali na vitu, na kipindi cha wakati mgumu wao hukosa furaha kwani furaha yao inategemea vitu vya nje ambavyo havidumu milele. Lakini katika meditation unajifunza kuachana na kujishikilia na mawazo, fikra, hisia, na milango ya ufahamu. Unajifunza kuingia ndani na kutafuta kisicho na mwanzo wala mwisho. Ambacho wakati wowote upo nacho, nacho kinakuunganisha source/chanzo na ufahamu mkuu wa Ulimwengu ambao wakati wote mpo pamoja.
Paul Bonaventure tweet media
Filipino
9
15
137
40.3K
The captain
The captain@shucom20·
@lifeofmshaba Acha uzushi, mnadanganya sana watu! Chini ya General kuna Major Genaral kisha ndo Luteni General! Mnalisha sana watu matangopori kwa kuongea vitu msivyovijua
Indonesia
3
0
0
606
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Huyu Luteni General wa Jeshi yuko kwenye Stress kali kwa kuushishwa na Tume iliyofanya mambo ya kihuni Jeshini huyo uwa ni namba mbili, na uwa ni mtu mmoja tu mwenye cheo hicho Jeshini, Kwenye Jeshi ukiondoa CDF anayefuata ni Luten General Fikiria mtu mwenye uzoefu mkubwa hivyo yamemshinda yuko na stress kali namna hii Hawa wanashinikizwa kusema uongo hivi wanakubali kwa nini? Majeshi ya kigeni yalikuwepo nchini, kulikuwa na watu wanaongea lugha ya kigeni na wasiojua kiswahili na walipiga watu Risasi Dar, mwanza na Tunduma
Think Different tweet media
Filipino
6
14
67
5.8K
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Sendo za kiume Pure Leather zinazokupa mtindo na ubora wa kipekee kwa bei ya shilingi 65,000/= tu! Duka letu lipo Kariakoo, Mtaa wa Msimbazi. 🚚 Tunafanya delivery nchi nzima. Size | 40-45 📱 Whatsapp | Call +255 713 395 108
Paul Bonaventure tweet mediaPaul Bonaventure tweet mediaPaul Bonaventure tweet mediaPaul Bonaventure tweet media
Indonesia
0
3
8
638
Paul Bonaventure รีทวีตแล้ว
Olesangka
Olesangka@OleSangka·
Kwa tunaokujua tunajua ni namna gani ilikuwa ngumu kutuma tweet ya maombi Mungu akufanyie wepesi kakaangu🙏🏾 tabasamu letu lirudi. barabara ya tisa Tanga dukani kwake ilikua kama nyumbani Kama unaweza kumbless chochote tisha kwenye namba hizo👇M PESA 0764122090 REGAN 🙏🏽
Olesangka tweet media
Indonesia
4
40
175
5.3K
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Siku moja asubuhi mapema niliamshwa, nikaogeshwa nikavalishwa nguo za shule. Tangu hiyo siku sijawahi kupumzika
Indonesia
12
61
394
10.1K
Paul Bonaventure รีทวีตแล้ว
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Jana “tumesikia” ripoti ya tume ya uchunguzi wa vurugu na mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa oct 29,2025 Nasema “tumesikia” kwa kuwa ripoti hiyo japo ilisomwa mubashara kwenye runinga, haijachapiswa kokote kwa ajiri ya marejeo Mimi nina machache ya tafakuri.
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
5
65
452
36.3K
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Siasa mchezo mchafu, mimi msafi siuwezi 🙌🏾
Paul Bonaventure tweet media
HT
1
1
22
1.7K