Faustine
34.1K posts

Faustine
@RednetCompany
Website Designer | S.E.O Expert | Founder, Rednet Technologies | We help your business to grow online.




How possible Raisi anakamatwa kwenye nchi yake na kutoroshwa katika uwepo wa majeshi na usalama wa Taifa ??

do you talk to yourself? Be honest.

Hivi mnampimaje mtu kuwa Vitabu vile havijamsaidia ? Mmemuuliza kwa nini alivisoma?


Unakata tiketi Airtanzania kwenda 🇩🇪 ila hadi unaingia🇩🇪 unasafirishwa na mashirika mengine 2 tofauti ya ndege. Unatumia iPhone lakini kioo chake kimetengenezwa na Samsung. Unatumia kadi ya CRDB kufanya malipo mtandaoni sehemu ambazo hata CRDB haijafika bado. Ni normal detail?

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.












