ทวีตที่ปักหมุด
ⓐⓤⓇ𝔸
1K posts




Busaa ni pombe ingine hatari, unagonga gorogoro moja peke yako lakini hazishiki, inabidi umeongeza kashell B. Ukifika kwa nyumba ndio zinaamua kulipuka unapoteza network. Bibi akikuja kukuamsha ukule unamwambia " Oyaaa!! Na ujuwe leo sikua na budget ya kulala na malaya, not unless unipe shot alafu tuandike kwa kitabu ya deni". Yani tangu Zakayo aweke biblia chini imekua tu ni mateso bila chuki hadi nimesahau taste ya beer. Those with monies, as you partake beer & other high-end liquor tonight, priiss remember us the less fortunate.

Indonesia
ⓐⓤⓇ𝔸 รีทวีตแล้ว
ⓐⓤⓇ𝔸 รีทวีตแล้ว
ⓐⓤⓇ𝔸 รีทวีตแล้ว


















