Ezekia Elia Zambi
4.4K posts

Ezekia Elia Zambi
@kakaAFRIKA
Member and Regional party Chairman



Mwenye ile video ya Zitto Kabwe akiwahakikishia CCm kuwa wasijali hakuna maandamano yatatokea kwenye uchaguzi sababu kuna kimoja tu Tanzania kinachoweza kuitishisha maandamano na chama hiko ni ACt na wao wanashiriki uchaguzi. Naomba nitumie hiyo video WhatsApp +1 424 537 3057

Eti huyu jamaa na chama chake ndio wawaongoze Tanzania kwenye maridhiano. Eti chama hiki kilichotudharau na kutebeza Watanzania kipindi tunajipanga na maandamano ya kukomboa taifa eti leo ndio kisimamie maridhianozzzz CCM wanajitekenya na kucheka wenyewe. Maridhiano Kati ya CCM na ACT Wazalendo yasituhusishe Watanzania. Wafanye wenyewe kujifurahisha nafsi zao ila wasituhusishe wanachi. Watanzania imani yetu ipo kwenye chama kilichosimama na sisi kipindi cha mauaji ya Oktoba 29. Na Chama hiko ni Chadema pekee!!!! Vyama vingine vyote hatuvitambui……































