Licious_tz รีทวีตแล้ว
Licious_tz
10.1K posts


#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imebaini kwamba hakukuwa na makaburi ya halaiki kama ilivyoelezwa na Wanaharakati Uchwara na Kituo cha Televisheni cha CNN.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imeeleza idadi ya vifo ni 518 na zaidi ya alfu 10 kama ilivyosambazwa na Wanaharakati Uchwara na Wafadhili wao.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imeeleza kwamba kilichofanyika hayakuwa maandamano kwa kuwa yalikiuka Sheria za Kimataifa, Kikanda pamoja na Katiba na Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#TumeNaUkweli
Filipino

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imeweka bayana kwamba wapo wahusika waliopanga, kuratibu na kufadhili vurugu za Oktoba 29. Wanaharakati Uchwara walitupotosha.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imependekeza waliotuhumiwa au kutajwa wapewe haki ya kusikilizwa kwa kufanyika upelelezi wa kina ili hatua stahiki zichukuliwe. Wanaharakati uchwara wanataka watu wahukumiwe kabla ya kusikilizwa.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kuunda Tume ya Upelelezi ya matukio ya Oktoba 29. Tuwapuuze Wanaharakati Uchwara.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imependekeza Katiba Mpya ipatikane 2028 ili itumike kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029 na Uchaguzi Mkuu 2030. Hongera sana Tume ya Jaji Mkuu Othman Chande.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume itakutana tena na Wadau pamoja na Waandishi wa Habari kufafanua taarifa na uchunguzi wa Tume. Tuepuke upotoshaji wa Wanaharati Uchwara.
TumeNaUkweli
हिन्दी

#TaifaKwanza #KataaVurugu
"Yaliyotokea Oktoba 29 yasijirudie tena" kauli thabiti ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Tumezikataa propaganda za Wanaharakati Uchwara.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Taarifa ya Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 28 imeweka msingi wa kutuongoza kama Taifa ili kupata suluhisho ya malalamiko katika nchi yetu. Tuwakatae Wanaharakati Uchwara na upotoshaji wao.
#TumeNaUkweli
Indonesia

Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele.
#UkweliOktoba29




Indonesia
Licious_tz รีทวีตแล้ว
Licious_tz รีทวีตแล้ว
Licious_tz รีทวีตแล้ว

Yale hayakuwa maandamano ya amani tumesema wazi ule ulikuwa ni ugaidi watu wameenda kwenye maandamano na kombeo, mawe, vilipuzi na mapanga na visu.
#RipotiYaTume #UkweliOktoba29
Filipino
Licious_tz รีทวีตแล้ว

AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
Kutoka uongozi wake kama Jaji
Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na inayotii na kufuata sheria kikamilifu bila mapendeleo yoyote.
#TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande
Ukweli Na Haki
#UkweliOktoba29

Indonesia
Licious_tz รีทวีตแล้ว

Jaji Chande : Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuchocchea wananchi kushiriki ghasia za Oktoba 29 kwa kutumia Kauli Mbiu mbalimbali wakati na baada ya uchaguzi Mkuu, tume ilibaini kuwepo kwa vichochezo mahsusi kwa ajili ya kushiriki ghasia. #UkweliOktoba29 #TumeYaUchunguziReport #NeverAgain




Indonesia
Licious_tz รีทวีตแล้ว

Ukweli unaanza kufichuka! Vurugu hazikuwa za bahati mbaya zilipangwa, zikarekodiwa, na kusambazwa ili kuwachochea wananchi.
#UkweliOktoba29

Indonesia














