Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex
866 posts

Marflex
@marflex002
Unemployed | Educated | Surviving | Tanzanian🇹🇿
เข้าร่วม Şubat 2023
195 กำลังติดตาม18 ผู้ติดตาม
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว

Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว

Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว

Ukisikiliza matajiri na all successful people wote wanarudia the same old shit.
"Fanya kazi kwa bidii"
"Ishi na watu vizuri"
"Tambua thamani yako"
"Sali na kufunga sana"
"Hustle in silence"
"Disappear for 30 days"
"Fuck this, fuck that"
Na upo hapa, ukiamini ukifungamana na hayo yote utatoboa.
Vipi nikikuambia if you obey and follow wanayozungumza utaishia kua mtu wa kawaida.
Umeshawahi kujiuliza why there's a lot poor religious people than poor pastors?
Bro the game is already rigged na washindao aren't nice and kind people at all.
Filipino
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว

Kijana unaenda kwenye madarasa ya uwekezaji katika HISA kwa ajili ya nini, ili iweje na kwa faida ya nani.
Ilihali mfukoni una 500,000 na stress za bills kama zote.
Huna biashara, huna kazi inayokulipa vizuri, huna kibarua kinachokupa posho ya kueleweka.
Huna backup ya background uliyotoka, kuanzia babu mpaka mjukuu macho kwako.
Bro/sis hauitaji madarasa ya uwekezaji kwenye hisa zilizoshikiliwa na vigogo ambao kesho wakiamua kutoa nusu ya mizigo yao unarudi kwenye umasikini.
Unahitaji madarasa ya ku shape mindset set yako, kushape skills zako, kushape career yako, kujua how the system works na namna ya kulandana mfumo.
Wachana na hizi illusion na matrix za kununua HISA - JIJENGE huna hadhi ya kununua hisa kwa sasa.
Ulihali
Indonesia
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว
Marflex รีทวีตแล้ว

I don dey train too 🙂↔️
Mardortii@mardortii
Weather for Two Kerh, war dey come I dey prepare for bandit 💔😂😂
English
Marflex รีทวีตแล้ว

Marflex รีทวีตแล้ว

















