Othman Masoud Othman

929 posts

Othman Masoud Othman banner
Othman Masoud Othman

Othman Masoud Othman

@othmasoud

Mgombea Urais wa Zanzibar 2025 Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa

Zanzibar West, Tanzania เข้าร่วม Mart 2021
38 กำลังติดตาม13.2K ผู้ติดตาม
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Hafla ya kufunga Darsa Masjid Gofu, Mkunazini Zanzibar.
Indonesia
3
4
17
573
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Nilipata fursa ya kujumuika katika Sala ya Eid el Fitri Kitaifa, Masjid Jamiu Zenjibar, Mazizini Mjini-Magharibi Unguja, Machi 21, 2026.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
1
2
26
815
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Jumanne ya Februari 24, 2026, nilipata fursa ya kukutana na Wananchi wa Mikoa ya Kichama ya @ACTwazalendo ya Kaskazini A na B, katika ziara ya kuwajulia-hali Wazee, Wagonjwa na Watu wanaokabiliwa na matatizo mbali mbali, yakiwemo ya kiafya na Wasiojiweza, huko Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
1
0
11
355
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Ziara ya kuwafariji wananchi, Mkoa wa Kusini Unguja.
Indonesia
1
2
13
404
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Leo Februari 12, 2026, nimepata fursa ya kuzungumza na Viongozi wa chama chetu cha @ACTwazalendo , wa mkoa wa kichama wa Wete na Micheweni, Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, huko Wete Kaskazini Pemba. Huo ni muendelezo wa Ziara yetu ya kutana na Viongozi wa chama chetu, na kuwaeleza muelekeo wa Mazungumzo yanayoendelea ya kutafuta Suluhu ya kudumu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
1
2
6
423
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Februari 06, 2026, nilijumuika na Waumini wenzangu wa Kiislamu katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa hapo Masjid Huda, Msikiti uliopo Chwaka Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
0
5
14
576
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Leo Januari 30, 2026, nimejumuika na Waumini wenzangu wa Kiislamu, katika Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Msikiti wa Masjid Jasmi, uliopo kijiji cha Kiyongwe, Bumbwini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
1
3
12
344
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Cheo ni Dhamana sio kujinufaisha kiuchumi.
Lietuvių
0
3
12
376
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Tunaendelea kwa dhati kupigania utulivu wa kweli, amani ya kweli, maridhiano ya kweli na suluhu ya kudumu wala si 'funika kombe'.
Filipino
2
5
10
411
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Jana Januari 29, 2026, nilipata fursa ya kuzungumza na kubadilishana mawazo na baadhi ya waliokuwa wagombea wa nafasi za Ubunge wa Chama chetu cha @ACTwazalendo visiwani Zanzibar, na ambao walifungua kesi katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, Kikao kilichofanyika katika Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Zanzibar, iliyopo Vuga Mjini Unguja.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
1
3
13
361
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Leo Jumanne ya Disemba 30, 2025, nimejumuika na Viongozi na Waumini wengine wa Kiislamu, pamoja na Wananchi, katika Maziko ya Mama-Mkwe wa Mhe. @mansoorhimid, Marehemu Bibi Fadya Abdallah Seif Albahry, huko Kijijini kwao Kazole, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Innaalillahi Wainaa Ilayhi Raajiun! Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi. Amiin!
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
3
6
34
1.3K
Othman Masoud Othman
Othman Masoud Othman@othmasoud·
Leo Disemba 19, 2025, nimejumuika na Waumini wenzangu wa Kiislamu, katika Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Msikiti wa Masjid Taqwa, uliopo kijiji cha Maziwani, Jimbo la Pandani, Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Othman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet mediaOthman Masoud Othman tweet media
Indonesia
2
4
22
550