Polisi Tanzania Football Club

150 posts

Polisi Tanzania Football Club banner
Polisi Tanzania Football Club

Polisi Tanzania Football Club

@polisitzfc

Official Account of Polisi Tanzania Football Club.

Moshi Kilimanjaro เข้าร่วม Aralık 2019
12 กำลังติดตาม16.3K ผู้ติดตาม
Polisi Tanzania Football Club
Polisi Tanzania Football Club@polisitzfc·
Bora wangedeka tu, lakini kwa vile wamekubali wenyewe hawataamini macho yao. Katika kipindi kama hiki tutawatupa rumande mpaka Jumamosi bila dhamana na hatuogopi kutupiwa yale mavitu yao😁😁😁⚽️⚽️
Polisi Tanzania Football Club tweet media
Indonesia
3
0
14
1.8K
Polisi Tanzania Football Club
Mchezo ujao dhidi ya Yanga...Alama tatu ni muhimu ndani ya Kilimanjaro na uzuri wanatujua vyema
Indonesia
15
3
62
0
Polisi Tanzania Football Club
Wanafunzi wa shule ya msingi Tumbi Kibaha Mkoani Pwani, wakifurahi na kipa wa Polisi Tanzania wakati timu hiyo ilipokuwa mazoezini leo asubuhi kwenye uwanja wa Shirika la elimu Kibaha kujiandaa na mchezo dhidi ya Ruvu siku ya Jumapili. instagram.com/p/CVU6J44Kxqg/…
Indonesia
0
1
19
0
Polisi Tanzania Football Club
Tunawashukuru mashabiki wetu kwakuendelea kutuunga mkono katika msimu mwingine. Hii ni wakati wa mchezo dhidi ya Azam FC katika uwanja wa ushirika.
Polisi Tanzania Football Club tweet media
Indonesia
1
2
18
0
Polisi Tanzania Football Club
Polisi Tanzania Football Club@polisitzfc·
Mchezaji kinda Kassim Shaban Haruna amejiunga na kikosi chetu kwa mkataba wa miaka miwili. Kassim alikuwa nahodha katika timu ya Sahare ya Tanga na alionyesha kiwango ambacho kimewaridhisha Viongozi na benchi letu… instagram.com/p/CEW37ltA3Ee/…
Indonesia
0
0
8
0