. รีทวีตแล้ว
.
189.3K posts

. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว

Mwenyezi Mungu akuhifadhi Fam @Ninja_Damour
Natamani Ulogin nitaniane na wewe kuhusu Mkato Vs Tamaduni. Nikutanie kuhusu HITS
Nimekaa nimeumia vile mwanaume machozi yanaishia ndani.
Familia yako, marafiki zako, na sisi wote tunakusubiri. Hii sio kawaida, na haitakiwi kuwa kawaida.
Rudi salama bro, bado tuna mambo mengi ya kumalizia 🤍
#FreeNinja

Filipino
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว

Uzembe gani sasa wakati magoli mliyofunga nyie ni sababu ya uzembe wao 😀😀
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr
Ilikuwa game ya kuondoka na points tatu basi tu uzembe wetu
Indonesia
. รีทวีตแล้ว

DAMURU apatikane.
Suala la utekaji na upotezaji wa watu limekuwa doa zito katika jamii, likiacha hofu, majonzi na maswali yasiyo na majibu.
Watu wanaotekwa au kupotea mara nyingi ni wale wasio na hatia, huku familia zao zikibaki katika hali ya sintofahamu na maumivu yasiyopimika.
Kinachoongeza uzito wa tatizo hili ni pale ambapo wale waliokabidhiwa jukumu la kulinda raia wanashindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na wakihojiwa hutoa maelezo yenye dhihaka.
Inapotokea kwamba vyombo vinavyopaswa kuhakikisha usalama vinageuka kuwa dhaifu, au vinahusishwa moja kwa moja au kwa uzembe na vitendo hivyo, basi hali inakuwa hatari zaidi.
Kukosekana kwa uwajibikaji kunafungua mlango wa mazoea mabaya, ambapo utekaji na mauaji vinaweza kuonekana kama jambo la kawaida lisilo na madhara makubwa kwa wahusika. Hapo ndipo imani ya wananchi kwa mifumo ya ulinzi na sheria huanza kuyeyuka.
Ukiona kwamba anayepaswa kumaliza tatizo anashindwa kulimaliza, basi kuna dalili kuwa chanzo cha tatizo si kile kinachoonekana juu juu. Inaashiria uwepo wa mizizi iliyojificha iwe ni uzembe, maslahi binafsi, au mfumo uliooza.
Katika hali kama hii, suluhisho halipo tu katika kushughulikia matukio ya utekaji, bali katika kubadili au kuondoa kabisa mfumo unaoruhusu vitendo hivyo kuendelea.
Hivyo, wito ni wa wazi na wenye uzito: haki lazima itendeke bila upendeleo. Ikiwa kuna mtu anayehusishwa na vitendo hivi, kama DAMARU, basi arejeshwe mbele ya jamii na Familia yake.
Bila hatua thabiti na za dhati, kivuli cha utekaji na upotezaji wa watu kitaendelea kuitanda jamii kwa muda mrefu zaidi.
HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI Vitaliponya Taifa.
BAK MWABUKUSI.

Indonesia
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว

Mama amefarijika kidogo kutuona marafiki zake Ninja ila tunajua moyoni bado ana maumivu makali sana! Tuendelee kuifariji familia na kushinikiza ndugu yetu aachiwe huru maana tunajua hana kosa
Kesho asubuhi tukutane Keko kufuatilia taarifa zake kama yupo mahali hapo #FREENINJA
Msambinungwa😍😂@AnthonyEme27082
Wapendwa leo tumeenda kumtembelea mama yake na ndugu yetu #Ninja hali yake kama mnavyojua haiwezi kuwa nzuri sana,hivyo basi kulingana na maelezo yake toka wamchukue hadi sasa hawajui alipelekwa wapi, kwaiyo tunaomba kwa yeyote atakaewiwa kwenda kumtafuta ndugu yetu kesho..
Indonesia
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว

WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!!
Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!!
SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !!
Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice #FreeNinja #MwalimuMkuuMAMAyenu


Indonesia
. รีทวีตแล้ว
. รีทวีตแล้ว

Kila nikiingia humu nikiona picha ya jamaa yetu hapa hata nguvu ya kubaki humu inaisha kabisa
Maumivu ni makali sana Kibaya hatujui jamaa yuko na hali gani uko aliko Inaumiza sana aisee 💔💔
MUNGU AKULINDE JAMAA WAKURUDISHE UKIWA MZIMA KABISA
#Freeninja
#Freeninja

Indonesia
















