Reema Mbuya

139.4K posts

Reema Mbuya banner
Reema Mbuya

Reema Mbuya

@raynzzle

I love Jesus Christ #TeamJesusForever👸🏾👸🏾🙏🏽💫 🌺

Tanzania,Dar es salaam เข้าร่วม Haziran 2011
243 กำลังติดตาม2.3K ผู้ติดตาม
Reema Mbuya รีทวีตแล้ว
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
The Bible has much to say about justice, mercy, love, and service to others. In times of uncertainty, God’s Word remains our firm foundation and guiding light. “Speak up for those who cannot speak for themselves… defend the rights of those in need.” -Proverbs 31:8-9 True faith calls us beyond comfort and affiliation. It calls us to stand for the vulnerable, uphold human dignity, and be a voice for those who are unheard. Justice matters. Mercy matters. Humanity matters.
English
1
10
39
447
Reema Mbuya รีทวีตแล้ว
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Nenda Rwanda halafu utasema masikini ana ustaarabu au hana. Ustaarabu ni msingi muhimu sana (prerequisite) wa maendeleo. Moja ya changamoto ya maendeleo yetu Tanzania ni Swahili civilization. Corrupt, lazy, uncultured, uncouth, and unprogrammed. Hauwezi kufanya maendeleo kama huna uniform population to certain extent. People who share values, principles and ideals and are willing to stand for and defend them. Hapa kwetu kila kitu ni random, look at how corrupt we are as a society, bodaboda anavuka taa nyekundu, daladala linasimama barabarani nje ya kituo, raia anamaliza maji anatupa chupa chini, serikali haijengi pavement za barabara, masoko yana matope, raia hawapandi miti, think of how random we are behaving from top down. That is a typical civilizational issue. We must fix that with laws, punishment and everything in between.
Max@maxannania

Nakubaliana na namna ulivyopanua angle ya kujadili the problem as a whole, ila tunaposema “civilization” kuwa tatizo we need to agree kwamba tatizo ni wanaposwa kuhakikisha civilization inakuwa in place. We can’t obtain civilization ikiwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ni duni. Masikini hana ustaarabu hilo lisiwe gumu kueleweka. Mfano:- -Kuna watu wanategemea kuokota scraps (makopo na vyuma chakavu) ili waishi, maana yake kutupa taka inaonwa kuwa uwezeshaji wa ndg zetu wanategemea hilo. -Kuna wanaotegemea kufua nguo zao kwenye maji yanayopita kwenye open drainage system pembezoni mwa barabara, kwa hivyo wahandisi wa hilo eneo na mamlaka wanaona ni vizuri kuacha open drainage ili kuwapa watu unafuu wa kupata maji japo ya kufulia au kumwagilia bustani. -Na mwisho kuna wanaotegemea kupiga debe na kuendesha daladala, bajaji, na boda, maana yake policy makers wanaona hizo ni fursa za kijamii watu kupata kipato hasa kwa nchi zetu (tunajiita masikini) maana tukivoresha miundombinu ya umma hilo kundi 2-3M watadolola. The list goes on and on, ukiangalia kwa hamasa utadhani tatizo ni KUSTAARABUKA per se, lakini ukiangalia kwa udadishi ndipo unagundua vizuri kuwa tatizo ni Complacency na unufaika wa kibinafsi wa kikundi kidogo cha wanaopswa kuhamasisha/kuchochea ustaarabu through “economic empowerment” kwa jamii wote. Kundi la waendesha bajaji, boda na daladala walipaswa wawe workforce viwandani, tech hub, mashambani na sekta zingine zenye kuchochea generational talent and skills. Kiini cha tatizo (IMO) ni “Complacency” ya tabaka la uongozi toka ngazi zote za jamii yetu.

Indonesia
19
27
72
13.2K
Reema Mbuya
Reema Mbuya@raynzzle·
How did you get a visa without an affirmative accommodation??? 🤔...
English
0
0
1
382
Reema Mbuya รีทวีตแล้ว
9jacc ⭐ | TikTok
9jacc ⭐ | TikTok@kosysaidit·
"Show me" the fifa song Ayra starr and latto is featured one is going to be a banger!!!... a literally karol g vibe!!!
English
3
13
128
26.2K
Reema Mbuya รีทวีตแล้ว
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
ILI TAIFA Lipone linahitaji mambo Muhimu 5 1. Tume ya Ukweli,Haki na Uwajibikaji kuhusiana na matukio ya Mauwaji na upotezwaji wa watu na Miili Kabla,wakati na baada ya uchaguzi 2.Kuachiliwa kwa mahabusu wote ,wafungwa wakisiasa ikiwamo kuachiliwa kwa Wakili Tundu Antipas Lissu. 3.Kuhuishwa kwa sheria ya Uandikwaji wa Katiba Mpya na Kuweka utaratibu utakao anzia pale Tume ya Warioba ilipoishia. 4.Kuruhusu Uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusiana na matendo yote yanayohusiana na ukiukwaji wa haki za Binadamu na haki za kiraia. 5.Raia wote kujikana kukataa rushwa,hofu,woga,kukataa hila na ghilba za kisiasa na kutanguliza maslahi Mapana ya Taifa mbele UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI UTALIPONYA TAIFA. BAK MWABUKUSI.
Indonesia
21
202
704
15.4K
Reema Mbuya รีทวีตแล้ว
REVOLT
REVOLT@revolttv·
Say it louder for the people in the back 💯
English
29
479
2.9K
53.4K
Reema Mbuya รีทวีตแล้ว
🫧
🫧@solongparisss·
Stop idolizing celebrities. Stop turning them into symbols of morality and weaving fantasies around everything they do. Social media gives you a glimpse of a curated public image, not the reality of who they are. You do not know these people.
English
21
936
3.1K
132.4K