ICON🤠

1.9K posts

ICON🤠 banner
ICON🤠

ICON🤠

@ChileIcon

Die Trying🙏//Street SOUL💔// Bless Us..👊

Dar es Salaam, Tanzania Sumali Şubat 2020
801 Sinusundan61 Mga Tagasunod
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
Akikupa kuku wake kula, Akikupa bia zake kunywa, Akikupa pesa zake chukua, Akikuambia twende tukalale, Mwambie sina usingizi😂 Mwenzako sipo serious shauri ako😅😅🫵
ICON🤠 tweet media
Filipino
0
0
0
8
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@fivara_ Keep pushing bro every breath counts !!
English
0
0
0
3
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@BabuBomba4 @SwahiliKid22 Inategemea ndo maana una mawazo yako na mwingine hii haizuiii Kila mtu Kuna na taswira ya kile alichokipokea hvy tukubaliane kutokukubaliana !!
Filipino
0
0
0
1
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Nadhani si kwamba watu walikuwa wanataka line za diss ila kwa Jay moe tulitegemea ufundi mkubwa sana na majigambo ya hali ya juu. Labda nikupe mfano imagine ile ngoma yake ya "Famous" ndio ingekuwa Tukusa yake Yaani moto na ufundi wa namna ile sio hiki alichofanya ni kawaida
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️@LucasOdero8

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

Filipino
6
1
14
1.1K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@BabuBomba4 @RealLoisMo @fivara_ dah ni swala la muda tu Mungu na Juhudi.. Huyu jamaa niliskiaga Kaz zake aisee ni suala tu la muda Kaz zake zitakuwa prominent na jamii itajua to "Zoo ukitoa mawe anabaki fivara "
Indonesia
3
2
2
27
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
@RealLoisMo Fivara m'rapper mbona kabisa anafanya makubwa sema low key ila kazi zake zinaongea
Indonesia
3
2
7
126
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@MuganyiziBigan1 N:B mwanafunz anayepataga A siku akipata B hata mwalimu wa somo humuuliza TATIZO nin JApo pia Kafaulu Sa apo Kuna ubaya Gani washkaji Tusihoji ,tusitoe compliment !!
Filipino
0
0
0
2
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@MuganyiziBigan1 Jamani mbn km kupuyanga nyie mmweka mawazo yetu katika negative side Sisi hatujasema ngoma mbaya la hasha Tulichokisema ni kuwa ngoma ni average Kuna ((Good ,better ,best )) Ile ngoma ni good ila sio best ! Kwa uwezo wa mchopanga
Indonesia
1
0
0
3
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi tu ! -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competion!
ICON🤠 tweet media
Indonesia
0
0
0
8
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Muhanuzi16 Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi tu ! -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competion!
Indonesia
0
0
0
2
ALAM OF GOD2026
ALAM OF GOD2026@Muhanuzi16·
Changamoto kubwa ya Hip Hop ipo hapa.
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu

@Roma_Mkatoliki @chapo255 Wana Hip Hop wetu wengi wanashindwa kuconnect na raia. Msanii hajui aimbe nini ambacho hata mtu ambae yupo chaka akisikia atikise kichwa. Kuna namna pia hakuna connection kati ya mziki na biashara. Je biashara zitawatumia vipi wasanii ambao hawawezi kusanya kijiji?

Filipino
2
1
7
401
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@counselordvd @SwahiliKid22 Bro huo ni mtazamo tu kuonyesha uwiano wa vitu Maana jay Moe hatuna disrespect naye ni emcee mkali ila hiyo haituzuii et akiharibu au akifanya kitu nje ya ubora tusiseme Na kinachotutesa sisi ni demand tunaamin ana uwezo mkubwa kuliko ya alichokifanya🙏
Filipino
0
0
0
3
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@SwahiliKid22 @BabuBomba4 Sure kabisa hatuwez kusifia bidhaa ambayo Haina ubora sokoni Hii baaadae ilaleta mtazamo kwa Kila rapper amin kwamba tukusa ni mistar tu Tukusa tunataka tuone sanaaa yako Mada utajua wew ukija ata ya betting sawa 😅😅🫵
Filipino
0
0
2
14
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
@BabuBomba4 Kama ambavyo tunawapa maua yao waatu walio nyosha basi pia tunapaswa kuwapa ukweli watu walio zingua. Tayari tukusa ilishakuwa na blueprint ni michano tu, Huwezi kufanya average vile
Filipino
2
0
1
55
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Unasikiliza Tukusa ya Jay mo kichwani ipo Tukusa ya Solo thang,hapo lazima umuone mchopanga kafanya kawaida. Mkiwa hivi mashabiki kuna ma legend wataogopa kuzifanya kwa kuhofia kufichwa . Kwa pamoja tu support kwa yoyote atakae Fanya . Tujenge Utamaduni wa kushukuru.
Indonesia
3
5
27
570
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Msodokii is Back.
Taivina James tweet media
Magyar
10
15
191
3.6K
Mustapher Namende
Mustapher Namende@TapherNamende·
"Ninajua kuchana karatasi la mkataba Wa Kinyonyaji ambao kwa nje una mahaba Ya Kunipumbaza ili nisiwe na shabaha Chini ya utawala wa kipapa niendelee kubaki dagaa Nailinda ngome kwa kuifukizia mashadaa mitikasi ya kulambana miguu nawaachia makadaa" -RADO (Tukusa 2 X)
Indonesia
1
1
5
88
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@LucasOdero8 Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi tu ! -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competion!
Indonesia
0
0
0
1
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@JH_Churchill Yaan kiukweli mtasema mnavyosema mtateaaa ila yote haiomndoi ukweli mchopanga ni zaid ya emcee.. Sasa mnachojaribu kumfichia watu wamsimkosoe kasoro haimjengi Wala haijengi culture Ishu ni project yake hii ni average Arudi tu drawing board hatuna shaka na uwezo wake
Indonesia
0
0
0
15
Miyeyusho
Miyeyusho@JH_Churchill·
Seems watu hawajaelewa dhana nzima ya TUKUSA 😃. Watu wamezoea rappers wanaorap kuhusu kurap, wanasahau sanaa ya uandishi na uwasilishaji kwenye Hip Hop ni zaidi ya hizo "Sarakasi" tulizozizoea. Jay Moe kaonesha his prowess kwenye Lyricism na Delivery.
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️@LucasOdero8

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

Indonesia
3
2
7
333
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@fundi009 @SwahiliKid22 Mo angefanya zaidi ishu ni kwamba huenda alichukulia project kawaida km anavyofanya Kaz zake zngn hajui km watu Wana mizan ndan tunapima Kaz na bila kumvunjia heshima kazingua zile flow ni average sio masterclass
Indonesia
1
1
1
16
fundi
fundi@fundi009·
@SwahiliKid22 Mi nna mawazo tofauti kidogo,,,ni ukweli mkubwa kazingua lakini baada ya Ninja kumpa beat Unju,Mteule na Dizasta mnazani nani anaweza kufanya zaidi???? Labda angewapa beat Watamaduni wengine waliobaki tofauti na hapo hakuna maajabu tena
Indonesia
4
1
5
181
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@SwahiliKid22 Sure expectation zilikuwa high ila deliverance yake imekuwa average
Filipino
0
1
1
37
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@JabirSaleh Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competition!
Indonesia
0
0
0
6
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
Naomba ni dis agree hapa kaka Chapo respectfully,Hiphop haipo kwa ajili ya rappers kudiss baina yao,hii tabia ya kusubiri rappers mpaka wapondane na tufurahie inadissapoint sana wakati wengi wao wanaachia miradi mizuri tu lakini wanaliwa buyu,tuwa support sawa na genres nyingine
SANUKAnaCHAPO@chapo255

Kinachiendelea juu ya Mex Cortez , Climax Bibo na Baghdad kinapaswa kuchukuliwa very positive kuanzia wasanii wenyewe hadi wadau. Game inachangamka na sio chuki, diss track na magoma yakitoka ndio unyama for the game.

Filipino
8
6
64
4.4K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@mnazi36 @Balyx_ Hzo flow mzee unaweza wafata wenye flow ye ukabak na uandishi wake
Indonesia
1
0
0
16
Mnazi😤
Mnazi😤@mnazi36·
@Balyx_ Uandishi sawa ila flow hanaa na ndio kinachomuangusha kwa game ya sasa
Filipino
2
0
1
115
Balyx
Balyx@Balyx_·
Kijana mwenye ego ya Wizkid Kijana anaye-inspire walom-inspire Kijana anayetoa ngoma bila interview ya redio Unique flow. Master kabisa huyu 🐐
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️@LucasOdero8

#HipHopFamily Raha ya Hip Hop battles Ma Emcee wanazidi kutuonyesha walicho nacho Safi🙏🏿 Tz Ina rappers wengi sana wanaweza kutoa Ngoma Kila siku kwa muda wa mwaka mzima . But 👇🏿 #TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿‍♂️

Indonesia
6
4
44
2.5K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Roma_Mkatoliki @chapo255 Leo uniambie raptcha na dizasta mi shabiki kusema dizasta alimfunika rapcha kwamba inaiua hip-hop? Mkato lile verse na kaligraph kwamba ulichukua point tatu inaua hip-hop Kati ya mex na climax kwamba nan mkali wa freestyle unajuaa hip-hop Logic hapa haiji kwakwel
Filipino
0
0
0
25
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Roma_Mkatoliki @chapo255 Competition lazima iwepo has hyo divide and rule policy inayozaa ubinafsi ambao IPO kwenye tansnia ya hip-hop na hicho ndo kirusi kinachoitafuna rap Leo tukisema diss track ,verse Kali na nan mkali si tunaangalia art yake mtu hii inauaje hip-hop ?
Indonesia
1
0
0
29
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kinachiendelea juu ya Mex Cortez , Climax Bibo na Baghdad kinapaswa kuchukuliwa very positive kuanzia wasanii wenyewe hadi wadau. Game inachangamka na sio chuki, diss track na magoma yakitoka ndio unyama for the game.
Indonesia
7
20
331
26.1K