Janeth Rithe Kitima

7.1K posts

Janeth Rithe Kitima banner
Janeth Rithe Kitima

Janeth Rithe Kitima

@JaneRithe

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Dar es Salaam, Tanzania Sumali AฤŸustos 2018
259 Sinusundan5.1K Mga Tagasunod
Janeth Rithe Kitima
Janeth Rithe Kitima@JaneRitheยท
Mwenyekiti wa chama ACT WAZALENDO Anawatakia sikukuu njema ya Eid ul fitr
Janeth Rithe Kitima tweet media
Indonesia
0
4
7
85
Janeth Rithe Kitima
Janeth Rithe Kitima@JaneRitheยท
Chama cha ACT Wazalendo kinawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla heri na baraka za Sikuu ya Idi-al Fitri. #EidMubarak
Janeth Rithe Kitima tweet media
Indonesia
0
1
1
41
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1ยท
Zitto Kabwe kafa kifo kibaya kwenye siasa bado akiwa na umri mdogo sana kisiasa Kuendekeza njaa
Indonesia
70
109
935
36K
Janeth Rithe Kitima nag-retweet
Ngome ya vijana_Official
Ngome ya vijana_Official@NgomeyaVijanaยท
TAARIFA KWA UMMA Leo Machi 17, 2026 M/kiti wa @NgomeyaWanawake, @JaneRithe na Naibu katibu @SavelinaMwijage wamekamatwa na Polisi baada ya ibada ya Kumuombea marehemu Dafroza K Jakob nyumbani kwao Rwamachu Kijiji cha Bwera Kata ya Buyango wanadai wameelekezwa na OCD wa Missenyi.
Ngome ya vijana_Official tweet mediaNgome ya vijana_Official tweet media
Indonesia
0
4
6
133
Janeth Rithe Kitima nag-retweet
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendoยท
VIONGOZI WA ACT WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUFANYA MISA BILA KIBALI CHA POLISI Kiongozi wa chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy amekamatwa jioni hii pamoja na viongozi wa Ngome ya Wanawake na wa Mkoa wa Kagera wakati ya misa ya kumuombea Marehemu Dafroza aliyekufa kwenye mikono ya polisi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Wengine waliokamatwa ni Katibu wa Mkoa wa Kagera R. Kashonde, Mwenezi Shaf Hassan, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa @JaneRithe, pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Ngome ya Wanawake Taifa Savelina Mwijage. Inadaiwa wanashikiliwa kwa tuhuma za kufanya misa bila kibali cha @tanpol. #MachoziYaMamaDeniLaTaifa ๐Ÿ’œ
Indonesia
8
5
16
512
Janeth Rithe Kitima nag-retweet
Kassala
Kassala@Vicent_Kassalaยท
๐Ÿ“ Bukoba โ€œWengi tuliamini tumepata Rais mwanamke tutakuwa tupo salama. Badala yake tuko hatiani. Inawezekana kufikia kesho utasikia Janeth hayupo. Maana mimi na kiongozi mwenzangu tunatafutwa!" Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake @JaneRithe #MachoziYaMamaDeniLaTaifa @ACTwazalendo
Indonesia
2
3
5
229
Janeth Rithe Kitima nag-retweet
Kassala
Kassala@Vicent_Kassalaยท
๐Ÿ“Kigoma "Tumedhamiria kuunganisha wanawake wote kudai haki ya kuchagua na kuchaguliwa; haki ya kuwa na uchaguzi huru na tutaendelea kumpigania yeyote atakayeonewa bila kujali itikadi yake." Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake @JaneRithe #MachoziYaMamaDeniLaTaifa @ACTwazalendo
Kassala tweet mediaKassala tweet mediaKassala tweet media
Indonesia
0
2
3
87
Janeth Rithe Kitima nag-retweet
Ngome ya Wanawake
Ngome ya Wanawake@NgomeyaWanawakeยท
๐”๐ณ๐ข ๐Š๐จ๐ง๐ ๐š๐ฆ๐š๐ง๐จ ๐ฅ๐š ๐๐ ๐จ๐ฆ๐ž ๐ฒ๐š ๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐ฅ๐ข๐ฅ๐จ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ข๐ค๐š ๐Š๐ข๐ ๐จ๐ฆ๐š Leo Machi 15, 2026 @NgomeyaWanawake imefanya kongamano kwa madhumuni ya kuomboleza na kuwaombea dua Watanzania waliouliwa Oktoba 29, 2025. #MachoziYaMamaDeniLaTaifa @ACTwazalendo
Ngome ya Wanawake tweet media
Indonesia
1
6
8
495