
Janeth Joel Rithe
7.4K posts

Janeth Joel Rithe
@JaneRithe
National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2018
260 Takip Edilen5.1K Takipçiler
Janeth Joel Rithe retweetledi

"Siasa za kidemokrasia zimetoweka na mamlaka ya wananchi kuchagua viongozi imetekwa nyara na watu wachache. Vyama vya Siasa, ikiwemo CCM, haviendeshi tena siasa ya nchi badala yake, siasa imeachwa mikononi mwa kikundi cha watu wachache."
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo
@othmasoud
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#MjadalaWaKitaifa
Indonesia
Janeth Joel Rithe retweetledi

VIDEO:
Profesa mkongwe wa Sheria nchini Profesa Issa Shivji ametolea ufafanuzi uhusiano wa msingi kati ya amani na haki, akijenga hoja kuwa uwajibikaji ndio unaofanya kazi kama daraja muhimu kati ya mambo haya mawili mema.
Akizungumza leo, Mei 16, 2026, kwenye Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Demokrasia jijini Dar es Salaam lililoandaliwa na chama cha @ACTwazalendo , Shivji ameweka msimamo kwamba jamii haiwezi kufikia amani ya kudumu bila haki, wala haiwezi kupata haki bila kuwepo kwa utamaduni thabiti wa watu kuwajibika kwa matendo yao.
“Bila uwajibikaji huwezi ukawa na haki na bila haki huwezi kuwa na amani, na katika tukio lililotokea suala muhimu linajitokeza ni uwajibikaji. Kwa maoni yangu hatuwezi tukapiga hatua yoyote ile bila uwajibikaji”, ameeleza Shivji.
Indonesia

@JaneRithe @godbless_lema Mm natamani @godbless_lema aseme wana shida gn na @zittokabwe kwa sb inaonekana wana jambo Binafsi
Mpk Sasa wanamshambulia Zitto kuliko kina Devotha Minja,Salum Mwl.na wengine waliokwenda Chauma yani kwao Zitto ndio msaliti pekee kwenye Siasa za Tz
Indonesia

Binafsi huwa ninasikitishwa sana na tabia ya @godbless_lema ni mtu anayejifanya anajua sana na kukandamiza wengine huku akidai yeye ni mtu anayedai haki unawaita majina mabaya wengine
Kitu kitakacho kukuta Mungu atakulipa ni Jambo la muda

Indonesia
Janeth Joel Rithe retweetledi

"Tumefikishwa hapa pia na kuongezeka kwa mbinyo wa uwanja wa kisiasa na kiraia ikiwemo ukandamizwaji mkubwa wa haki za kiraia kama vile uhuru wa habari, haki ya kuabudu, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuchangamana n.k."
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo
@othmasoud
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#MjadalaWaKitaifa

Indonesia
Janeth Joel Rithe retweetledi

Ameandika Katibu Mkuu ACT Wazalendo @AdoShaibu
MAKOSA 5 YA KIMKAKATI YA VYAMA VYA UPINZANI.
Vyama vya Upinzani Tanzania, katika miongo mitatu ya uwepo wake, vimefanya mengi, mazuri kwa mabaya. Kwa maoni yangu, yafuatayo ni makosa ya dhana ya vyama vya upinzani (strategic misconceptions) katika kuing’oa CCM madarakani;
1. Kudhani kuwa, katika mazingira yetu, kuna Chama kinaweza kufanikiwa chenyewe kuing’oa CCM bila mshikamano wa vyama vya siasa.
2. Kudhani kwamba CCM inaweza kuvihurumia vyama vya upinzani na kukubali kuweka mazingira itayoking’oa.
3. Kudhani CCM inaweza kuleta mabadiliko (reforms) bila shinikizo
4. Kudhani kwamba vinapambana na CCM badala ya dola.
5. Kudhani kwamba CCM inaweza kudondoka bila kukata mizizi yake ambayo ni hali ya Chama hicho kujigeuza kuwa Chama dola (State Party)
Unakubaliana na mimi? Kuna makosa gani mengine vyama vya upinzani tunayafanya? Yataje. Tupo tayari kujifunza.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Indonesia
Janeth Joel Rithe retweetledi
Janeth Joel Rithe retweetledi

Kesho Mei 16, 2026 Chama cha @ACTwazalendo kitakuwa na mjadala wa kitaifa juu ya mwelekeo na khatma ya nchi yetu katika hoteli ya Serena, DSM.
Mwenyekiti wa ACT Taifa, Ndugu @othmasoud atatoa wasilisho.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Indonesia

Kesho Mei 16, 2026 Chama cha @ACTwazalendo kitakuwa na mjadala wa kitaifa juu ya mwelekeo na khatma ya nchi yetu katika hoteli ya Serena, Jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa, Ndugu @othmasoud atatoa wasilisho.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Indonesia

Tukumbuke tu nguo chafu ndio inasuguliwa sana na kuwekwa sabuni kali acha inyeshe tuone panapovuja
Peter Madeleka@PMadeleka
Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN, wewe ENDELEA KUCHAPA KAZI kwa ajili ya WATANZANIA. Usisikilize maneno ya MITANDAONI ya watu wachache WANAOKUONEA WIVU. Mpaka sasa UMEVUNJA REKODI kwa kuwa Rais mwenye TUZO NYINGI DUNIANI hata kama UTEKAJI na MAUAJI ni TATIZO hapa Tanzania.
Filipino

@JaneRithe ayo maandishi kwenye nguo.
Kuna mengine yameandikwa MAGEREZA alafu kuna sehem pameandikwa MAAGEREZA
Filipino

Hizi ndio nyumba zinazoongozwa na viongozi walafi wa mali za umma na ufisadi mkubwa wa bwana mdogo @DrHmwinyi


Indonesia

Vyombo vya ulinzi vishageuka kuwa chawa wa ccm hawezi kujua chochote zaidi ya kulinda MASLAHI ya ccm Ile siku walikuwa na jukumu la kulinda tume inapiga kura na @SuluhuSamia apate 98%

Indonesia

@Muhidinmkwera Tunamla kichwa hakuna namna akafanye uhuni huko mbele
Indonesia

Janeth Joel Rithe retweetledi
Janeth Joel Rithe retweetledi

MAHOJIANO RASMI KATI YA THE JENERALI ULIMWENGU POST NA JAJI JOSEPH SINDE... youtu.be/DJBvIACR5S8?si… via @YouTube

YouTube







