Simba🦁

510 posts

Simba🦁

Simba🦁

@ManyamaOne

Sumali Haziran 2025
85 Sinusundan25 Mga Tagasunod
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Yani WAKIMBIZA mwenge ndio kipimo cha viongozi wajao. Ndiomaana tulipodai UCHAGUZI HURU NA HAKI waliamua kupiga watanzania risasi za vichwa. Hawa VIBAKA wanaona hii nchi kama sehemu ya urithi wao na sisi wengine tumekuja kutalii tuu. SENGE KABISA.
Indonesia
14
47
261
17.7K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania kuwa makini na matumizi ya mitandao ya kijamii, akisema baadhi ya watu wanaposhiriki mitandaoni huonekana kama wanajua yote, wakati kwa kweli hawana uhusiano wala ufahamu wa kweli. Akizungumza katika Misa ya kuaga mwili wa marehemu William Lukuvi, bungeni jijini Dodoma, Dkt. Nchemba amesema: "Siku hizi tunatumia vibaya mtandao. Sisi hapa mitandaoni, wapo wengine wakiandika utadhani ni Mungu kaandika. Ukimwangalia mtu mwenyewe anayeandika hivyo, ameshadhulumu dhulumu tu; hata sio msafi, ana madeni kibao na utapeli mwingi. Somo la leo, Baba Paroko, limetusaidia sana kuturudisha binadamu, tuone sisi ni binadamu na safari yetu ni moja." Ameongeza kuwa, kupata masahihisho ya kuweza kujua nani ananufaika au nani amekosea, ni jambo linalobaki kwa Mungu peke yake.
Filipino
57
3
90
13.3K
Black Singapore 🤴🏿🐲
Black Singapore 🤴🏿🐲@BlackSingapore2·
Imagine mtu huridhiki na ukuni wa Tanzania unaenda kutafuta ukuni wa kimataifa. Wanawake 😂🙌🏾
Black Singapore 🤴🏿🐲 tweet media
Indonesia
54
23
390
34.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo. Inaelezwa kuwa jina la hoteli hiyo ya kifahari, Gerwill, limetokana na mchanganyiko wa majina ya marehemu William Lukuvi na mkewe Germina Lukuvi.
Indonesia
61
14
184
32.9K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
MSANII Wakazi kaamua kukata Rufaa ya kesi ambayo hukumu ilitoka anatakiwa kumlipa BABA LEVO MILIONI 100. This time WAKAZI kampa kazi WAKILI KIBATALA—anyooke nae mahakamani. Kiufupi hii KESI ishaisha kabla haijaanza.😂 Wakazi kaamua kushusha PAPAI NA GOBOLE. Baba LEVO alijinadi anataka hizi hela za wakazi akapelekee watu wa Kigoma mjini wakatengenezewe MADAWATI, nafikili wanafunzi wataendelea kukaa CHINI mpaka yesu ARUDI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
35
105
1.3K
64.8K
Glide Nigeria
Glide Nigeria@glidenigeria·
Akpi dey craze 😂 Oloro Sowore iPhone 18 She's a 10 Ruth Wizarab Henry Tom and Jerry Blessing CEO Nikita Mo Salah
Filipino
136
382
2.6K
537.7K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Haya masenge yanatakiwa yawe yanaliwa kila siku mamae🤣🤣 Tena haya ndio mazalendo lazima yalimpa TANZANIA WIN safi sana kanji kayalaza njaaa. Mshahara mdogo kama bikini, unataka kuudabo lazima moto ukuwakie shenzi.
Indonesia
22
46
474
45.5K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kutoka inbox Nimetoka safari ya nje ya nchi Nilikaa miezi 6 lakini nilipolejea nyumbani nimekuta mama watoto wangu anasumbuliwa na ugonjwa huu..Nishaulini nimwambie atumie dawa gani amegoma kwenda hospital anasema anaona aibu nimempiga picha Kwa kumvizia na sio Kwa hiari yake 🙏
Real Nigger tweet media
Filipino
82
7
93
25.1K
Simba🦁 nag-retweet
STIMA ⚡
STIMA ⚡@JosmanStima·
"Sisi tulilia oktoba wacha zamu yao walie sasa Mwaga moto kama Dragon zifike Repost500" Mm kama Libro stima mwenye Tiki kwaakili zangu Timamu nimeweka NOTIFICATION ON nifatilie akitema Madukuduku.
STIMA ⚡ tweet media
Indonesia
19
38
130
2.2K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Mathayo 28 : 19 “Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.” 2 Wakorintho 13 : 14 “Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu viwe nanyi nyote.” Hakuna miungu 3, Bali ni Mungu mmoja aliye kwenye nafsi 3. Yesu kabla ya kupata mbinguni alitupa ahadi ya kutuachia Roho mtakatifu, Matendo ya Mitume 1 : 5, Roho mtakatifu baada ya kushuka watu wote wakajazwa ( wale mitume) Matendo ya Mitume 2 : 4. Nafsi ya Mwana ndo ilitumwa duniani kuja kutukomboa kwenye utumwa wa dhambi Yohana 3 : 16, Hapo Mwanzo alikuwapo neno, naye neno akafanyika mwili, akakaa kwetu Yohana 1 : 14., hapo maana yake Yesu alikuja duniani kama Mwanadamu. Mungu baba yeye kazi yake ilikuwa ni uumbaji, ukisoma kitabu cha Mwanzo
Ray Asel@rayasel94

@bonifacejoseph_ @Makaveli_255 Biblia imethibitisha haya unayosema?

Filipino
9
1
28
2.1K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
KIDUKU ZE DON VINYEO OFSA NGIRI WAPWA Naomba Mnifolo Kwa Speed Ya Ngiri Mkia Juu KINYEO Nje Nafoloback 👊 Naomba RT Zenu Hapa Wakuu.🙏
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
158
149
847
30.2K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Yani BAKWATA wanaona waitumie siku ya EID kumpongeza MAFWELE na DIKTETA JIKE. Tukisema hawa MIKUNDU walishinda njaa siku 30 tutakuwa tunawaonea? Hii dini kama PEDI YA SAMIA TUU.
Indonesia
85
120
646
30.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwigizaji Mkongwe na Mwanamichezo wa Sanaa za Mapigano (Martial Arts) Chuck Norris amefariki dunia hii leo Machi 20, 2026 akiwa na umri wa miaka 86, wakati akipatiwa matibabau katika Hospitali ya Hawaii nchini Marekani. Taarifa za kifo chake zimethibitisha na Familia yake kupitia Mitandao yake ya Kijamii ambapo imeeleza “Kwa huzuni kubwa, Familia yetu inawataarifu kutokea kwa kifo cha ghafla cha mpendwa wetu Chuck Norris, na tungependa sababu za kifo chake zibaki kuwa za siri, tungependa mfahamu kuwa amefariki akiwa amezungukwa na Familia yake na alikuwa katika hali ya amani.” Aidha Chuck Norris alijipatia umaarufu katika filamu kwanzia miaka ya 1970 mpaka 80 akiigiza Filamu maarufu zilizofanya vizuri duniani kama vile Walker, Texas Ranger, The Delta Force, Missing in Action, Good Guys Wear Black (1978), The Octagon (1980), Lone Wolf McQuade (1983), Code of Silence (1985) na Firewalker (1986), The Expendables 2 (2012) na nyinginezo nyingi. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
32
45
732
19.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
HABARI: 📍IRINGA - Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu Askari Polisi namba F.4987, Sajenti Rogers Mmari wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia kijana Nashon Kiyeyeu, mkazi wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa, Desemba 14, 2024 Hukumu hiyo imetolewa jana Machi 19, 2026 na Jaji Angaza Mwipopo baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili na kujiridhisha bila shaka kuwa mshtakiwa alihusika na tukio hilo. Kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa Mahakamani, Sajenti Rogers alipokea taarifa kutoka kwa mwananchi Beatrice Kimata aliyedai kuwa marehemu aliiba simu yake. Kufuatia taarifa hiyo, askari huyo alimtafuta Kijana huyo na alipompata alianza kumpiga akimtaka arejeshe simu hiyo. Ilielezwa mahakamani kuwa kipigo hicho kilisababisha majeraha makubwa kwa marehemu hadi kupoteza fahamu. Baadaye alipelekwa katika hospitali binafsi kwa matibabu, lakini hali yake iliendelea kuwa mbaya na hivyo kuhamishiwa Hospitali ya Rufaa ya Iringa, ambako alithibitishwa kufariki dunia. Mahakama pia ilibaini kuwa, licha ya kumshambulia marehemu, mshtakiwa hakuwahi kufungua kesi rasmi kuhusiana na tuhuma za wizi dhidi yake. Katika utetezi wake, Sajenti Rogers alikiri kumpiga marehemu, akidai kuwa kijana huyo alikuwa akimjibu vibaya wakati wa mahojiano. Baada ya kusikiliza mashahidi sita wa upande wa Jamhuri na watatu wa upande wa utetezi, Mahakama ilimtia hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia, kinyume na vifungu vya 195 na 198 vya Sheria ya Kanuni ya Adhabu, na kumhukumu kifungo cha miaka miwili jela. Hata hivyo, baba mzazi wa marehemu Nashon Kiyeyeu ameonyesha kutoridhishwa na hukumu hiyo, akidai kuwa tukio hilo lilifanywa kwa makusudi na kuomba serikali pamoja na wadau wa haki kuingilia kati ili kuhakikisha haki inatendeka kikamilifu.
Jambo TV tweet media
Indonesia
26
16
167
24.6K
مشاكس أسهم
مشاكس أسهم@moshaks1111·
المرء من جليسه .. الكلب صار يقلد النعاج .. 🤪🤪
العربية
143
430
2.4K
746.8K
Tajiri wa Upendo 🕯️
Tajiri wa Upendo 🕯️@Luvandalugano47·
Hawa jamaa huwa wanakosa msaada maana mtaani watu wanajua ni usalama wa taifa.😂🙌
Tajiri wa Upendo 🕯️ tweet media
Indonesia
18
32
128
4.3K