zee la jumuiya

2.9K posts

zee la jumuiya

zee la jumuiya

@ASwagarya

Dodoma, Tanzania Katılım Nisan 2012
569 Takip Edilen162 Takipçiler
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Taarifa ya ajali ya kusombwa na maji kwa Ndg. Yusuph Mwandami aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Singida , ajali hiyo ilitokea imetokea Jana tarehe 26/03/2026 saa 1 usiku. Gari alilokuwa amepanda yeye Mke wake mtoto na Dereva, ilitumbukia Mtoni na kusombwa na maji eneo la Mang'onyi wakitokea Sambaru. Mpakasasa hakuna alieokolewa. Tutaendelea kujuzana kadiri taarifa zitakapokuwa zikitufikia.
Indonesia
46
46
293
13.8K
Black Singapore 🤴🏿🐲
Black Singapore 🤴🏿🐲@BlackSingapore2·
Imagine mtu huridhiki na ukuni wa Tanzania unaenda kutafuta ukuni wa kimataifa. Wanawake 😂🙌🏾
Black Singapore 🤴🏿🐲 tweet media
Indonesia
54
23
390
34.5K
zee la jumuiya
zee la jumuiya@ASwagarya·
@AmRosalinee Kwanza unaepukana na majirani wale wachawi wasiopenda mafanikio ya watoto wa wenzao
Indonesia
1
0
1
57
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Ukianza kujitafuta jaribu kuondoka sehemu uliyo zaliwa na kukulia iki hauto ambiwa shuleni🙏🙏
Indonesia
18
40
171
3.7K
zee la jumuiya
zee la jumuiya@ASwagarya·
@Therealngassa Ukifika job usingizi mzito wakati ukiwa home usingizi hauji mpaka ukalewe😃😃😃
Indonesia
1
0
18
634
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Ukiangalia nyuso za watu kwenye daladala asubuhi, unaweza kudhani wanaelekea msibani Watanzania wengi wanaonekana hawapendi kazi zao basi tu Amna namna
Indonesia
56
71
607
22.7K
Muuza viatu🌹
Muuza viatu🌹@Agnesskanje·
Ukiacha pombe unaweza ukajenga
Polski
25
11
81
4.7K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Haka katoto kalitamba sana kipindi cha magufuli eti kanaakili kalikuwa kanataja viongozi wote wa duniani na watu wakakapa sifa eti kana akili nasikia mwenye matokea yake ya lasaba mswaki😁😁🙌🙌👇👇
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
65
21
430
50.5K
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Watu wanaosema Mungu hayupo Huwa wanajenga hoja ya kuwa hakuna aliyewahi kumuona . Muda huo huo Kuna maandiko mengi ya manabii yakionyesha Mungu akimtokea Ibrahim pamoja na mkewe akaongea nao uso kwa uso Kisha baadae akaanza kuongea na Ibrahim pekeake kuhusu kuichoma Sodoma
Filipino
34
9
65
5.1K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Pesa kwanza wewe endelea kutuma sms za mahaba
𝗭𝗘𝗗 tweet media𝗭𝗘𝗗 tweet media
Indonesia
17
18
84
6.3K
zee la jumuiya retweetledi
JOH✝️
JOH✝️@JOH_MCI·
@digitalsantana Yes wapo mzee kwani bimkubwa wako anauza
Filipino
6
1
8
1K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Nyumba moja inauzwa na bank mbili..🤔
kasesco☆ tweet media
Indonesia
46
39
303
24.7K
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Kwaiyo kula Pilau ya Christmas ni haramu ila kula ftari ya Shoga ni halali . Ila wanetu mmeanza kuzingua Sasa 🤔
Indonesia
54
44
535
25.8K
zee la jumuiya
zee la jumuiya@ASwagarya·
@incrediboss Na watu walishasema mwanaume atakiwi kujipost mara Kwa mara lakini Kwa mwamba unaona noma kumfundisha maisha mtu ambaye hata ukoo watu ukikusanya pesa hatukuti hata robo ya robo ya mali zake🤣🤣🤣🤣 tutafute pesa standard ni kwaajili yetu makapuku
Indonesia
1
0
9
1.1K
BΞBΞRU
BΞBΞRU@incrediboss·
Ila Pesa ni Nzuri sana Aisee, si unaona Lilugumi vile linapostigi picha tu afu Linawaacha Mjiongeleshe😁.
Filipino
31
35
371
18.5K
warida yahaya
warida yahaya@WaridaYahaya·
@FaradayMtz01 Unaona wivu😂😂,kubali wamekuzi, huna kitu mkuu maisha yaendelee.unachowazidi wewe ni matusi tu
Eesti
2
0
4
898
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Watanzania kumanina zenu hivi akina Diamond, Chief Godlove, Dj AllyB, Vunjabei na wengine wengi kwa nini mnawaweka kwenye kundi la waliofanikiwa kiuchumi. Hivi mnayajua mafanikio ya kweli nyie? Tanzania waliofanikiwa ni Mo Dewji, Bakhresa, Rostam n.k yaani hawazidi 10.
Indonesia
33
6
163
14.8K
zee la jumuiya
zee la jumuiya@ASwagarya·
@kasesco_tz Mimi YUDA aniambie vile vipande 30 alienda kulewa bar Gani enzi hizo🤣🤣
Español
0
0
0
4
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukipewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja wa kwenye bibilia, ungechagua kukutana na nani..?😊👇
Indonesia
53
26
119
7K
zee la jumuiya
zee la jumuiya@ASwagarya·
@Watu_Mikeka Kama unapesa kaanze tu kujenga maswala ya gharama utajua juu Kwa juu
Indonesia
0
0
0
246
SONKO
SONKO@Sonko_tips·
Twitter Ujenzi, Huu mjengo unaweza kugharimu kiasi gani hadi kukamilika...? 👀
SONKO tweet media
Indonesia
20
21
225
21.5K
Mzee wa Chuki 🤬
Mzee wa Chuki 🤬@PapiiKhan98·
Ukiangalia wanaume hatuna tunachopata kwenye mahusiano zaidi ya Ngono…Mwanaume kama bado unajitafuta acha kuwekeza kwenye mahusiano kuwa na uhakika tu wa kupata ngono ya kupunguza uzito. 📌.Kwa mwanaume kudate hakuna faida yoyote.
Filipino
23
65
354
11.5K
kaghema
kaghema@Iamkido07·
@PolycarpMDM Ila hizi dini zetu yetu yaani sehemu zetu za ibada zinalindwa na military defense badala ya Mungu😀
Indonesia
5
1
13
1.9K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
HAPA NI MAKKAH SEHEMU TAKATIFU. Huu ni mfumo wa ulinzi wa anga wa MIM-104 Patriot uliotengenezwa na kampuni ya Marekani Raytheon. Saudi Arabia imekuwa ikitumia mfumo huu tangu mwaka 1991 kwa ajili ya kuhakikisha usalama wakati wa ibada ya Hajj, mfumo huu wa sasa umewekwa katika eneo hili tangu mwaka 2018. Picha hii ilitolewa na Ministry of Defense of Saudi Arabia wakati wa msimu wa Hajj wa mwaka 2025.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
11
8
166
16.9K