ICON🤠

2K posts

ICON🤠 banner
ICON🤠

ICON🤠

@ChileIcon

Die Trying🙏//Street SOUL💔// Bless Us..👊

Dar es Salaam, Tanzania شامل ہوئے Şubat 2020
800 فالونگ61 فالوورز
Miyeyusho
Miyeyusho@JH_Churchill·
@ChileIcon Hakuna mtu anaemfichia kitu. Yawezekana metrics zako ndo tatizo, ukali wa track unaupimaje?
Indonesia
1
0
0
4
Miyeyusho
Miyeyusho@JH_Churchill·
Seems watu hawajaelewa dhana nzima ya TUKUSA 😃. Watu wamezoea rappers wanaorap kuhusu kurap, wanasahau sanaa ya uandishi na uwasilishaji kwenye Hip Hop ni zaidi ya hizo "Sarakasi" tulizozizoea. Jay Moe kaonesha his prowess kwenye Lyricism na Delivery.
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️@LucasOdero8

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

Indonesia
6
3
13
823
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@PompiClicks Kinachoipoteza hip-hop ni BIAS baina yao ! -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa..
Indonesia
0
0
0
3
JESUS COUSIN📌
JESUS COUSIN📌@PompiClicks·
Kuna Namna sasahivi Bongo HipHop inazingatiwa sana Mc and Rappers wanaungana magoma yanaachiwa Back to Back tukiendelea hivi kuna mwanga mkubwa kwa kiwanda cha Hip Hop bongo🔥🔥🙌🏽
Filipino
6
6
20
470
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@zeanonymouspoet Kk ukielewa nafasi ya hadhira (mashabiki ) huwez kusema hvy Ana haki ya kusifia km itampendeza au kukosoa km hajafurahishwa Ushindani kwenye game huja tu kutokana na Kila msikilizaj (hadhira) kuvutia kwake
Indonesia
0
0
0
4
Babuu
Babuu@zeanonymouspoet·
Humu mijadala mingi ya Hiphop haiko kwenye kumsifia mtu bali kushindanisha ama kutoa kasoro. Haswa kwenye mijadala ya wasanii wq ndani
Indonesia
1
0
3
59
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@SharoGangstar endele kutanguliza hisia katika uchambuz 😅😅😅😅
Polski
0
0
0
3
GURU
GURU@SharoGangstar·
@ChileIcon Kamsikilize Zuchu bana. Akili yako kisoda
Filipino
1
0
0
4
GURU
GURU@SharoGangstar·
Jay Moe Toka nimjue Huwa anapenda kusimama kwenye Topic anaichambua vyema Mwanzo Mwisho Mvua na Jua, Bishoo, Maisha ya Board, Famous, Pesa madafu, Nisaidie Kushare, n.k NB: Mnaosema Mkongwe kapotea pengine mnamtaka Mo Jay badala ya Jay Moe
GURU tweet media
Indonesia
7
4
29
928
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@SharoGangstar Bro hii game inafelishwa na wajuaji km wew Mawazo yanatolewa na Kila mtu ikiwa anahoja yake ila sasa km umechagua kukazqfuvu na kujiona Bora unaingiza side feeds et zuchu 😅😅🫵
Indonesia
1
0
0
7
GURU
GURU@SharoGangstar·
@ChileIcon Kama hata kuelewa mfano niliokupa hujaelewa basi endelea kumsikiliza Zuchu.
Indonesia
1
0
0
5
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@SharoGangstar We hayo 9 uliyaona na 6 yng mi na manne zaid Ifike kipind tukubaline kutokukubaliana Sababu hip-hop ni maisha hi culture hakuna aliyozaliwa nayo Hvy Kila mtu kapatia madarasa tofaut Kila mtu akae kwenye lane yake tu ila ukweli huwa haujifichi cku zote
Filipino
1
0
0
5
GURU
GURU@SharoGangstar·
@ChileIcon Unayoiona 6 wewe Mimi naiona 9, Ili tukibaliane inabidi mmoja aje upande wa mwenzie. Ni simple tu
Indonesia
1
0
1
17
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
Akikupa kuku wake kula, Akikupa bia zake kunywa, Akikupa pesa zake chukua, Akikuambia twende tukalale, Mwambie sina usingizi😂 Mwenzako sipo serious shauri ako😅😅🫵
ICON🤠 tweet media
Filipino
0
0
0
13
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@fivara_ Keep pushing bro every breath counts !!
English
0
0
0
4
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@BabuBomba4 @SwahiliKid22 Inategemea ndo maana una mawazo yako na mwingine hii haizuiii Kila mtu Kuna na taswira ya kile alichokipokea hvy tukubaliane kutokukubaliana !!
Filipino
0
1
0
7
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Nadhani si kwamba watu walikuwa wanataka line za diss ila kwa Jay moe tulitegemea ufundi mkubwa sana na majigambo ya hali ya juu. Labda nikupe mfano imagine ile ngoma yake ya "Famous" ndio ingekuwa Tukusa yake Yaani moto na ufundi wa namna ile sio hiki alichofanya ni kawaida
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️@LucasOdero8

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

Filipino
6
1
15
1.6K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@BabuBomba4 @RealLoisMo @fivara_ dah ni swala la muda tu Mungu na Juhudi.. Huyu jamaa niliskiaga Kaz zake aisee ni suala tu la muda Kaz zake zitakuwa prominent na jamii itajua to "Zoo ukitoa mawe anabaki fivara "
Indonesia
3
2
3
41
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
@RealLoisMo Fivara m'rapper mbona kabisa anafanya makubwa sema low key ila kazi zake zinaongea
Indonesia
3
3
9
207
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@MuganyiziBigan1 N:B mwanafunz anayepataga A siku akipata B hata mwalimu wa somo humuuliza TATIZO nin JApo pia Kafaulu Sa apo Kuna ubaya Gani washkaji Tusihoji ,tusitoe compliment !!
Filipino
0
0
0
6
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@MuganyiziBigan1 Jamani mbn km kupuyanga nyie mmweka mawazo yetu katika negative side Sisi hatujasema ngoma mbaya la hasha Tulichokisema ni kuwa ngoma ni average Kuna ((Good ,better ,best )) Ile ngoma ni good ila sio best ! Kwa uwezo wa mchopanga
Indonesia
1
0
0
6
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi tu ! -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competion!
ICON🤠 tweet media
Indonesia
0
0
0
14
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Muhanuzi16 Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi tu ! -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competion!
Indonesia
0
0
0
2
ALAM OF GOD2026
ALAM OF GOD2026@Muhanuzi16·
Changamoto kubwa ya Hip Hop ipo hapa.
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu

@Roma_Mkatoliki @chapo255 Wana Hip Hop wetu wengi wanashindwa kuconnect na raia. Msanii hajui aimbe nini ambacho hata mtu ambae yupo chaka akisikia atikise kichwa. Kuna namna pia hakuna connection kati ya mziki na biashara. Je biashara zitawatumia vipi wasanii ambao hawawezi kusanya kijiji?

Filipino
2
1
7
430
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@counselordvd @SwahiliKid22 Bro huo ni mtazamo tu kuonyesha uwiano wa vitu Maana jay Moe hatuna disrespect naye ni emcee mkali ila hiyo haituzuii et akiharibu au akifanya kitu nje ya ubora tusiseme Na kinachotutesa sisi ni demand tunaamin ana uwezo mkubwa kuliko ya alichokifanya🙏
Filipino
0
1
0
17
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@SwahiliKid22 @BabuBomba4 Sure kabisa hatuwez kusifia bidhaa ambayo Haina ubora sokoni Hii baaadae ilaleta mtazamo kwa Kila rapper amin kwamba tukusa ni mistar tu Tukusa tunataka tuone sanaaa yako Mada utajua wew ukija ata ya betting sawa 😅😅🫵
Filipino
0
1
3
36
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
@BabuBomba4 Kama ambavyo tunawapa maua yao waatu walio nyosha basi pia tunapaswa kuwapa ukweli watu walio zingua. Tayari tukusa ilishakuwa na blueprint ni michano tu, Huwezi kufanya average vile
Filipino
2
0
1
76
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Unasikiliza Tukusa ya Jay mo kichwani ipo Tukusa ya Solo thang,hapo lazima umuone mchopanga kafanya kawaida. Mkiwa hivi mashabiki kuna ma legend wataogopa kuzifanya kwa kuhofia kufichwa . Kwa pamoja tu support kwa yoyote atakae Fanya . Tujenge Utamaduni wa kushukuru.
Indonesia
4
5
39
940
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Msodokii is Back.
Taivina James tweet media
Magyar
11
19
278
5.2K
Mustapher Namende
Mustapher Namende@TapherNamende·
"Ninajua kuchana karatasi la mkataba Wa Kinyonyaji ambao kwa nje una mahaba Ya Kunipumbaza ili nisiwe na shabaha Chini ya utawala wa kipapa niendelee kubaki dagaa Nailinda ngome kwa kuifukizia mashadaa mitikasi ya kulambana miguu nawaachia makadaa" -RADO (Tukusa 2 X)
Indonesia
1
1
11
234