Fb-Optimisit

36.5K posts

Fb-Optimisit banner
Fb-Optimisit

Fb-Optimisit

@Fb_Optimisit

I love football ⚽ @SimbaSCTanzania 🦁 🦁 fan

🇹🇿 شامل ہوئے Kasım 2016
1.7K فالونگ1.8K فالوورز
ᴍᴡᴀɴᴅᴀᴍɪᴢɪ♉
Lazima Kuna something behind. Wanatumia nguvu kubwa sana kupush hili kitu. NASA 🚮🚮
ᴍᴡᴀɴᴅᴀᴍɪᴢɪ♉ tweet media
Filipino
42
7
79
6.2K
Fb-Optimisit
Fb-Optimisit@Fb_Optimisit·
@slugger_tz @mwandamizittz @Tommskarsgard Yaani kumbe unaweza kureason zaidi yao? Mtu ambaye kwenye nchi yako huna hata rocket wala satelite halafu unataka kuchallenge mwenzako ambaye anakuzidi kila kitu. Ni bora ukakubali kujifunza inakuwaje wakienda huko kuliko kubisha bila facts
Filipino
0
0
0
7
SLUGGER
SLUGGER@slugger_tz·
@Fb_Optimisit @mwandamizittz @Tommskarsgard Chemistry na physics hamjasoma wenetu si ndio? Nini maana ya combustion Halafu linganisha na efficiency yake kwenye space kusukuma vitu vizito mpk vifike huko.
Indonesia
1
0
1
5
Mr Pengine (PhD)
Mr Pengine (PhD)@Mrpengine47·
Hizi challenge watu watatoa mavi
Mr Pengine (PhD) tweet media
Indonesia
4
2
12
244
DIGGALLER💯
DIGGALLER💯@Danford_tz·
Kwenye simu yako una namba ya mtu gani maarufu?🤔
DIGGALLER💯 tweet media
Filipino
49
13
76
53.8K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
💬 | “ Seleman Mwalimu naye anahitajika kuwa makini na umaliziaji wake. Baada ya pambano la Azam huenda mabosi wa Simba wakabadilisha mawazo yao juu ya mshambuliaji wao, Jonathan Sowah ambaye ana matatizo ya nidhamu. Suleiman anashindwa kutumia nafasi zake vema.” — Legend, Edo Kumwembe.
SportsArenaTz tweet mediaSportsArenaTz tweet media
Indonesia
5
9
326
14.5K
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Mida hii Beach kunakuwaga na mademu wazuri ngoja niende naweza kupata chochote 💥👊
Aruatani✨ tweet mediaAruatani✨ tweet media
Polski
21
24
148
10.5K
MCHAWI POSHO♻️
MCHAWI POSHO♻️@MCHAWIPOSHO·
Ukimtoa mama yake @Thereal_taivina Bimkubwa wangu anafata kwenye kuaminia Kamali 😂 Familia yangu kuanzia mama Na mkwe wake (wife) wote wanaaminia kamali What A family🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
MCHAWI POSHO♻️ tweet media
Indonesia
6
7
56
5.9K
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Sina uhakika na hiyo body count yake maana nimezidisha mara mbili na kama ni kweli wanaume wanne ni wengi sana. Hakuna mwanamke ambaye sio Bikira halafu akawa na past nzuri wote wana dirty past! 18 years old lakini tayari ana ma-trauma, bikira ilivunjwa akiwa U18 na hajamsahau mwanaume wake wa kwanza. KAMA BADO HUJAOA EPUKA KUOA WANAWAKE AMBAO SIO BIKIRA WANA MATRAUMA YAO YATAKULETEA SHIDA WEWE!
TOXIC DAWG tweet mediaTOXIC DAWG tweet media
Filipino
50
18
119
15.8K