Jamaa kaenda na mkewe mjamzito hospitali,
Nilijua mkewe alikuwa anaumwa kumbe jamaa ameenda kujua jinsia ya mtoto,
Wamefika huko wamemuuliza ana watoto wangapi kajibu watatu wote wa kiume,
Karudi hapa na furaha ameambiwa mtoto aliye tumboni ni wa kike,
Najiuliza hivi huyu mwamba anawachukuliaje madaktari yani?
Kubaafu huyu😂🤣🙌🏾
Utofauti wa civil engineer na architecture ni nini hasa maana wote wanadili na majengo.
Tena hawa architecture wanasoma muda mrefu sana.
Na je architecture anaweza kufanya kazi za civil maana wote huku mtaani tunawaita mainjinia.
Hii ni mara ya pili nakosa mchongo wa kutatua/kupunguza tatizo la umasikini kwa sababu ya kukosa driving Licence.
Nimepishana na salary ya 1.6M, na nimepewa only two weeks kama naweza kuipata niende nikareport. Daah🙌🙌
@Kinetclops@Therealngassa Mimi nazungumzia kwa ninavo faham wale BMS wote huwa wanakuwa maafisa baada ya kupiga hiyo Bachelor yao, sizungumzii hawa ambae wanatoka vikosin wakiwa either private then usail halafu TMA....
@PrasidiusNovat@Therealngassa Kuna jamaa angu nimesoma nae primary, secondary tukaachana mm nikaenda chuo yeye six pcb baba ake akamfanyia mpango akasomee military science awe doctor mbeleni akagoma "ohhh mm nilitaka tu niwe mwanajeshi mengine sihitaji" now ananipigia simu analiaga kila day yupo airfoce SAK
@Kinetclops@Therealngassa Acha kupotosha watu, wote wanaoenda Military Science huwa wanakuwa Commisioned wote na wakimaliza masomo yao wanakuwa Luten Usu
@Ugeniaconso Kuna jamaa mtaani kamfungia mkewe ndani mpk leo, mke aliita shoga ake ili athibitishe kuwa hajaolewa ili yule mke wa jamaa akopeshwe million 2. Jamaa nusu awehuke sio kisa kukopa yani alikuwa analia kisa mkewe kakana kuwa hajawahi kuolewa na wkt wali tulikula tena ndoa kanisani
@Therealngassa Punguza kukalili kaka, walotoka six hlf jkt sio kwamba wanaenda military science direct Ile kitu ni kiwaki sana kwa mana wale dogo wanaingia pale hawan ujuz wwte ninao masela wamepitia kote huko ila wameishia kuwa private tu. KUWA COMMISIONED OFFICER NI PROCESS NDEFU