Hilda Newton@HildaNewton21
‼️SERIKALI HARAM YA IDD AMIN MAMA IMEPANGA KUMUUA MHE. LISSU KWA RISASI‼️
Nimejulishwa kwamba baada ya Serikali haram ya Idd Amin Mama kuona mbinu zao zote za kutaka kummaliza Mhe. Lissu huko Gerezani zinavuja sasa wamekuja na mpango mwingine.
Mpango huu unaratibiwa na Paul Makonda na Faustine Mafwele.
Wamepanga kwamba kesi ya Mhe. Lissu itakapoanza kusikilizwa Mahakama ya rufani, atabadilishiwa Askari Magereza wale ambao huwa wanapanda nae gari moja kwa ajili ya kumlinda kila wanapompeleka na kumtoa Mahakamani badala yake wanaletwa Askari wa KMKM kutoka Zanzibar hao ndo watakuwa wanapanda nae gari moja na watavalishwa nguo za Askari Magereza ili wasishtukiwe.
Wamepanga kwamba mara baada ya kesi kuhairishwa Mhe. Lissu atakapokuwa anatolewa Mahakamani kurudishwa Magereza wakiwa njiani convoy ya Magereza itavamiwa na watu wenye silaha kisha watawafyatulia risasi kutakuwa kama kuna majibizano ya risasi then wale KMKM ambao watakuwa nae ndani ya Gari, watamuua kwa risasi humo humo ndani ya gari.
Then Serikali haram itakimbilia kwenye media kusema kwamba kauwawa na watu wasiojulikana so wanawasaka watu wote waliohusika kwenye shambulio hilo ili wasionekane kwamba ni wao.
Wamepanga mpaka watu wakuja kuwatetea kwenye mitandao ambao watakuwa wanasema Serikali haram haihusiki na kwamba kama ingetaka kumuua basi ingemuulia Magereza.
Yani Nduli Idd Amin Mama ameuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu, ameiba maelfu ya miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya Halaiki ili kupoteza ushahidi.
Tangu aingie madarakani hadi leo kateka na kupoteza watu zaidi ya 300 lakin bado hajatosheka na sasa anataka na damu ya Mhe. Lissu.
Wapendwa kama tusipompambania Mhe. Lissu hawa watu watammaliza huku tunaona maana mpaka sasa wameshagundua kwamba hawana ushahidi wa kutosha kumtia hatiani ili wamnyonge ndo maana wanapanga njama za kutaka kumuua kwa risasi akiwa bado mikononi mwao.
Idd Amin Mama anamchukia Mhe. Lissu kiasi kwamba anatamani kuona akiuwawa ili asionekane tena kwenye uso wa Dunia, yote ni kwasababu Mhe. Lissu kakataa biashara ya UDALALI WA SIASA ni mtu mwenye msimamo thabiti ambao Idd Amin Mama na washirika wake wanautafsiri msimamo huo kwamba ni kiburi.
Jambo moja ambalo wanatakiwa kulitia akilini ni kwamba kama wakithubutu kutekeleza huo mpango wao wa kumuua Mhe. Lissu hii nchi haitatawalika yani ya Maandamano ya Oktoba 29 itakuwa cha mtoto.