MtataProMax

2.9K posts

MtataProMax

MtataProMax

@MtataProMax

i may look normal but deep down i need a gun licence.

Mpimbwe شامل ہوئے Şubat 2025
20 فالونگ19 فالوورز
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@John_Pambalu Soon anarudi tena prison mana chama hakina sera zaidi ya propaganda na matusi. Siasa ni sayansi.
Indonesia
2
0
1
356
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Nimefanya kazi nawe miaka 5 ukiwa Naibu Katibu mkuu na baadaye Katibu mkuu wa Bavicha taifa. Itoshe kusema imani uliyopewa na chama kuwa Katibu wa kanda ya Kaskazini si ya bahati mbaya. Ukweli unastahili. From prison to the office.
John Pambalu tweet media
Filipino
4
78
661
10K
sultan
sultan@chapanombombwi·
MSITUMIE SIKUKUU YA WAFANYAKAZI KUOMBA MISHAHARA PEKEE, PENYEZENI AJENDA ZA UKOMBOZI..... Harakati za vyama vya wafanyakazi (Trade Unions) zilikuwa mhimili mkuu wa ukombozi wa mataifa mengi barani Afrika dhidi ya ukoloni. Badala ya kuwa vyombo vya kudai maslahi ya kikazi pekee, vyama hivi viligeuka kuwa majukwaa ya kisiasa yaliyoitikisa misingi ya serikali za kikoloni. Mkoloni na akili zake ndogo kama za baraka mafoe alipiga marufuku vyama vya siasa lakini akaruhusu vyama vya wafanyakazi kosa lilianzia hapo kiufupi wazungu walijichanganya mazee.... Vyama vya wafanyakazi vilitumia migomo kama chombo cha shinikizo. Kwa kusimamisha kazi katika sekta muhimu kama reli, migodi, na bandari, mambo ambayo yalisababisha hasara kubwa kwa serikali za kikoloni. Utakumbukwa sana mgomo mkuu wa mwaka 1947 nchini Senegal na ule wa 1948 nchini Ghana (Gold Coast) uliilazimisha Uingereza na Ufaransa kutambua nguvu ya Waafrika na kuanza mchakato wa mazungumzo ya uhuru. Nyie CWT sikilizeni, kwamba kupitia vyama hivyo vya wafanyakazi walikuja wakapatikana waasisi wengi ambao ndio walikuwa baba wa mataifa yao nadhani unakumbuka kuwa, Sekou Toure wa Guineaa alitumia muungano wa vyama vya wafanyakazi (UGTAN) kuikataa kura ya maoni ya Ufaransa mwaka 1958 na kupata uhuru? Rashidi Kawawa wa Tanganyika akiwa kiongozi wa TFL (Tanganyika Federation of Labour), alifanya kazi bega kwa bega na Mwl. JK Nyerere na TANU kuhamasisha wafanyakazi kuunga mkono harakati za uhuru? Tom Mboya Kenya alikuwa kiungo muhimu sana katika kuunganisha harakati za wafanyakazi na madai ya haki za kisiasa wakati wa hali ya hatari kabisa? Kwamba vyama hivyo vilisaidia kuifanya hoja ya ukombozi wa Afrika kuwa ya kidunia. Kupitia mashirika kama International Confederation of Free Trade Unions (ICFTU), viongozi wa Afrika walipata jukwaa la kuelezea dhuluma za kikoloni na kupata msaada wa kifedha na kisheria kutoka nje. Leo hii yametokea mazito katika nchi yetu mamilioni ya watu wameuawa, wametekwa, wamebakwa, wamelawitiwa na vitendo vingine vya kinyama 😢 Viongozi wanaoonelea mbali na kuwa mstari wa mbele wamefungwa magerezani kwa kesi za uongo 😢 Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) na washirika wake kama TEWU, DOWUTA, TRAWU, COWOTU, TALGWU, TUGHE, CWT, TUICO… mpo wapi? Zanzibar Trade Union Congress (ZATUC) na washirika wake—ZAPU, ZALGWU, ZAHWU… mpo wapi? Kwa mtumishi uliyeisoma makala hii fupi, wewe si mtumwa bali ni mtumishi. Una nafasi kubwa ya kukemea maovu bila hofu ya aina yoyote ile. Uzalendo si kuvumilia maumivu, bali ni kulinda nchi kwa nguvu zote. @chapanombombwi
sultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet media
Indonesia
4
19
66
4.4K
MtataProMax ری ٹویٹ کیا
EL SUKAYO 🇹🇿
EL SUKAYO 🇹🇿@Elsukay0·
Wasanii wakifanya kazi na CCM aah wasaliti tusiwasupport ila mkamaria kafanya na kazi na wana CCM wawili Gnako na Vunja bei mnasema anatafuta ugali Sasa mbona hamueleweki nyinyi?
EL SUKAYO 🇹🇿 tweet mediaEL SUKAYO 🇹🇿 tweet media
Indonesia
54
37
229
18K
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@KumbushoDawson Hana wema gani😂😂kawaulize kina CRDB na NMB wanamjua vizuri kwa utapeli.
Filipino
0
0
1
119
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Fikiria mtu mwema kama Lissu analindwa na maaskari magereza zaidi ya 20. Mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 16 mwilini. Just imagine?!
Indonesia
24
73
367
10.8K
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@Sativa255 Wee nae unajieleza sana njaa ni njaa buana 🚮
Indonesia
0
1
2
276
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kuna jamaa kasema “Njaana misimamo havikai pamoja” akimaanisha TAIVINA ana njaa. Ni kweli Mwanangu ana njaa ila njaa yake ni Njaa ya kuipambania KAMARI kuwa hapa ilipo sasa inaongelewa nchi nzima. Ila NJAA ya kwamba hana Hela hilo nakataa, kesi ya MILIONI 100 mwanangu humfungi.
Indonesia
46
60
707
16.5K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Popote heshima ilipo hapo ndipo napenda niwepo.
The mandevu tweet media
Filipino
27
96
1.1K
7.9K
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Kata ya Matamba, Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe wakiandaa udongo kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya chama ya Kata mapema leo. Hii conviction waliyonayo hawa watu kwa Chama chao hakuna chama hapa Tanzania kinaweza kuifikia. Huwezi kuiua Chadema kirahisi kama wachache wenye Mamlaka wanavyodhani.
Rose Mayemba tweet mediaRose Mayemba tweet media
Indonesia
11
50
297
8.8K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Samia alipoua watu alituumiza sana Hii ya kuendeleza ukatili namna hii ameumiza watu wengi sana leo Wala ujamkomoa Lissu umem connect na umma Mbaya zaidi kuna mwana CCM ataibuka na kuongelea uzalendo, watu wanafanyiwa unyama hivi ?
Think Different tweet media
Indonesia
6
28
88
2.4K
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@EduTalkTz Hasumbui na hajawai kusumbua CCM, CHADEMA haijawahi kuwa wapinzani serious ukiachana na ngonjera za mitandao ya kijamii.
Indonesia
0
1
1
44
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa nini tunang’ang’ania kujipambanua na kitu ambacho hatutaki kukiishi? Kama tunajua wazi kuwa HATUTAKI MFUMO WA KIDEMOKRASIA, tunaweka haki zake kwenye KATIBA ili iweje? Kuna mtu anatupangia na nchi yetu? Tunateka, kufunga, na kuua maelfu ya watu kila leo. Kosa lao kubwa, KUDAI HAKI ZILIZOWEKWA KWENYE KATIBA. Tunapoteza trillions of money kila kukicha kugharamia maigizo ya chaguzi na upumbavu unaoitwa bunge. Haya yote ya kazi gani wakati tungeweza tu kusema “hii nchi ni ya kiimla, maamuzi yote yatafanywa na tabaka tawala?” Imefikia hatua watu wazima kama Samia, Chande, Mwigulu, etc., wote wanaonekana kama WAPUMBAVU mbele ya umma. Ya nini yote haya??
Indonesia
6
55
168
3K
EL SUKAYO 🇹🇿
EL SUKAYO 🇹🇿@Elsukay0·
Upi ni mtazamo wako kina Taivina wapo sahihi kupiga kazi na CCM ama wamekosea?
EL SUKAYO 🇹🇿 tweet media
Filipino
50
12
96
6.7K
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@EsirEid Hawana kumbukumbu, mana hawakunyonya vizuri
Indonesia
1
1
2
269
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Ni siku nyingine ya Wafanyakazi kuhaidiwa nyongeza za mishahara.😁
The mandevu tweet media
Indonesia
23
39
540
8.2K
Mshauri wa Engonga
Mshauri wa Engonga@Dee7_Legend·
@IAMartin_ Mi Msabato wa kuzaliwa kabs yani Dini ya kurithi toka kwa wazazi.Tangu jamaa wa Itigi apigwe risasi ndani ya kanisa na mkurugenzi, kanisa likawa kimya, plus mauaji ya October bado kimya. Nilichagua kuachana na kwenda nyumba yyte ya ibada. Ntabaki na imani Mungu yupo inatosha.
Filipino
3
0
25
579
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025. Nafikiri hawa watu hawajitambui kabisa. Bahasha za kaki zimewalevya. Wamepagawa kabisa. Waelezwe. Watu hawapingi sura za watu wanaounda tume. Watu walipinga muundo wa tume, hadidu za rejea na sasa wanapinga na kukosoa maudhui yake. Wameshindwa kusimamia ukweli (wanashangilia mauaji ya raia yaliyofanywa kikatili). Wameamua kuvunja mkataba wa kiimani baina yao, waumini, na Mungu. Huwezi kuombea amani wakati unashangilia mauaji. Uhai ni zawadi ya juu (Sacredness of Life) kutoka kwa Mungu. Tofauti na makosa mengine ya kijamii, mauaji hayawezi kurekebishwa. kuukatisha uhai ni kosa ambalo halina fidia ya kutosha duniani (irreversible). Kiongozi wa dini anapowatetea wauaji; Anahalalisha utamaduni wa mauti. Anapoteza uhalali wa kukemea dhambi ndogo kama wizi au uongo. Anageuza nyumba ya ibada kuwa kimbilio la watawala wenye nguvu. Imani inapaswa kuwa mwanga unaotuongoza kuuona ukweli, na si pingu zinazotuzuia kuhoji au kuona uhalisia. Imani isiwe kifungo cha akili. Haki huinua taifa, bali dhambi ni fedheha kwa watu wowote.
Indonesia
58
94
383
12.5K
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@IAMartin_ Kitendo cha kuona maoni ya wenzako hayafai kitaalamu tuinaita uzezeta.
Indonesia
0
0
1
127
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@EduTalkTz Nini ambacho hamkukishuhudia? shida mnatumia tumbo kufikiria.
Indonesia
0
0
0
44
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Walilipwa, walitoka nje ya nchi, ni wajinga sio maengineer, walikuwa na mabomu, walipata mafunzo, ……… From now on, you will live your present by regretting the past — Dante
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
4
23
118
4.4K
MtataProMax
MtataProMax@MtataProMax·
@ze_mandevu Wimbo mpya wa marioo unaitwa Mombasa unakimbiza vipi😂
Filipino
0
0
0
147
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Mtu akiniambia mambo ya Simba na Yanga sijui ma Miziki ya Bongo ni kama ananiambia Mambo ya Oct 29, shout out kwa wote tuliokaza kwenye hilo bila kushusha mikono chini.🥲🫡
The mandevu tweet media
Indonesia
47
186
1.2K
8.5K
MOST WANTED JR
MOST WANTED JR@UchafuziM·
Taalifa kutoka kwa @HildaNewton21 Mh @TunduALissu amepelekwa mahakamani ya rufaa kimya kimya bila kujulishwa mawakili wake. Serikali ya @SuluhuSamia inaendelea kukandamiza HAKI za mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya UHAINI Kwanini Mh @TunduALissu apelekwa mahakamani kimya kimya?
MOST WANTED JR tweet mediaMOST WANTED JR tweet mediaMOST WANTED JR tweet mediaMOST WANTED JR tweet media
Indonesia
3
37
209
5K