Samson Charles
1.6K posts

Samson Charles
@SamsonChazz
Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa na maendeleo hapa EATV. Mkurugenzi wa sadaka yetu group (instagram sadaka_yetu)
tegeta Dar-es-salaam Tanzania شامل ہوئے Mayıs 2012
276 فالونگ786 فالوورز
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#WinoMzito: @SamsonChazz anasema wataalamu wa Lishe waje na kauli moja kwani kwa sasa wanachanganyikiwa hawajui kipi hutakiwi kula na kipi unatakiwa kula kutokana na matamko tofautitofauti ya wataalamu
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #WinoMzito
Indonesia

Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#NgengazaSiasa: Neema Misanga - Katibu vijana CCM kata ya Kawe anasema serikali imejitahidi kujenga vyuo vya ufundi karibu kwenye kila wilaya ili vijana waweze kujiendeleza
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
Host: @SamsonChazz
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #NgengazaSiasa
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#NgengazaSiasa: Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kinachotakiwa ni wapinzani waseme sera mbadala ambazo zitawashawishi wananchi kuwapa kura na kama hawana waendelee kuuza Nyanya
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
Host : @SamsonChazz
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #NgengazaSiasa
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#NgengazaSiasa: Suala la changamoto za umeme Tanzania hakuna, kwa sababu tuna uwezo wa kuzalisha megawatt nyingi - Furaha Panja, Mjumbe mkutano mkuu UVCCM mkoa wa Dar es salaam
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
Host : @SamsonChazz
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #NgengazaSiasa
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#NgengazaSiasa: (Hoja mezani ni kuhusiana na tume huru ya uchaguzi) Bi. Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake ACT wazalendo anatoa ushuhuda kwenye moja ya uchaguzi aliyoshiriki kwenye eneo (X) na hali ilivyokuwa.
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #NgengazaSiasa
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#VIDEO "Upinzani wameambiwa hawajajipanga na hela hawana watulie, " - @SamsonChazz
#NgengaZaSiasa
#SupaBreakfast
#EastAfricaRadio
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#SupaBreakfast :- Felix John, Meneja Uhamasishaji Uwekezaji wa Ndani -TIC ameweka wazi kuwa watu wanaotabiri matokeo, sio wawekezaji kama wanavyojiita bali ni wabahatishaji wanaocheza michezo ya bahati nasibu.
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #KibiasharaZaidi
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

Weekend ijayo haiwezi kuwa ya kinyonge kwa wakazi wa Kilimanjaro, kwani Team nzima ya EastAfricaTv na EastAfricaRadio itakuwa hapo kwa jambo moja kubwa la kuhakikisha binti anaendelea kubaki shuleni.
Tumedhamiria tunaposema Binti abaki shuleni kwani tuanza na wilaya ya Same na Hai kwa ajili ya zoezi letu la kumthamini binti
Shukrani kwa Taasisi ya Elimu Tanzania na wadau wote walifanikisha kwa hali na mali zoezi hili kwa msimu wa 9 sasa.
#Namthamini #Nasimamanaye #EastAfricaTv #HainaKuchoka #Taasisiyaelimu
Filipino
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

Kama uliahidi kuoa au uliahidiwa kuolewa mwaka 2024, kwa unavyoona mpaka sasa ndoa utakuwa nayo au hauna?
@SamsonChazz na @kissadaniel2 wanakukumbusha tu zimebaki siku 11 mwaka kuisha.
#EastAfricaRadio #HainaKuchoka #SupaBreakfast
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#SupaBreakfast : Inahitaji utulivu wa hali ya juu kuelewa mazungumzo haya na anachokisema @samson_chazz ni mtazamo wa kile kinachoendelea kwa sasa ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe
Video 👇

Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#SupaBreakfast : @samson_chazz anasema wakati gesi inatambulishwa kwa watumiaji wengi wa nchini Tanzania ilionekana kama anasa, lakini kadri ya siku zilivyokuwa zinaenda ikaja kufahamika kama ndiyo njia rahisi zaidi ya mkaa
#HainaKuchoka #SupaBreakfast #EastAfricaRadio
Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#SupaBreakfast : Mtaalamu wa soka, @ibrakasuga anasema kwa nyumbani kwake anatumia umeme si chini ya elfu themanini kwa mwezi na hapo yupo mwenyewe tu, kwa upande wako hauzidi kiasi gani kwa mwezi.
#HainaKuchoka #SupaBreakfast #EastAfricaRadio
Indonesia

MBOWE AMEKAMATWA NA JESHI LA POLISI MUDA HUU.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi
Magari yameharibiwa kwa kuvunjwa Vioo,Watu waliokuwa katika msafara wa Mbowe wamepigwa vibaya mno,wamepoteza simu na fedha.
Polisi wamempakia Mheshimiwa Mbowe katika Defender na Kutoweka naye pasipo Julikana.
Viongozi wengine waandamizi wamekamatwa na Kupakiwa katika gari tofauti na ile iliyombeba Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Indonesia
Samson Charles ری ٹویٹ کیا

#VIDEO "Zaidi ya watoto laki moja wana udumavu katika mkoa wa Dar es Salaam, watoto waliodumaa hawatoweza kufikia kiwango kizuri cha kufikiria, kusoma na hata kutoa maamuzi wakiwa wakubwa," - "Mwanamvua Zuberi, Afisa Lishe wa mkoa wa Dar es Salaam
#ElimuYaLishe
#Mjadala
#EastAfricaTV
Indonesia


