WorldChicken HUB

19.5K posts

WorldChicken HUB banner
WorldChicken HUB

WorldChicken HUB

@WorldChickenHUB

♧ WhatsApp: https://t.co/zUmhSqRVL9 ♧ Call: +255-(767)-11-222-1 ♧ Organic Jungle Fowl Products ♧ Chicks ♧ Eggs K. A. R. I. B. U.

Dodoma, Tanzania شامل ہوئے Haziran 2020
5.4K فالونگ5.1K فالوورز
Stee
Stee@I_am_stee·
@WorldChickenHUB Nataka kujenga banda kubwa la mita 3 kwa 10, gorofa 4. Nategemea kuweka kuku wa kienyeji tu kama 100+. Nasubiria mvua ikate
Indonesia
1
0
1
13
WorldChicken HUB
WorldChicken HUB@WorldChickenHUB·
@I_am_stee Kwasasa kuna ushindandani mkubwa huku vijijini. Sababu ikiwa ni kuongezeka kwa Mahitaji mjini. Uzalishaji umeshuka hivyo bei iko juu sana. Wakati mzuri wa kuanza ulikuwa huu wa mvua, japo na mvua zikiisha utaanza kwa kuendana na hali halisi ya soko.
Filipino
1
0
1
11
Stee
Stee@I_am_stee·
@WorldChickenHUB Na mimi nataka kuanza hii biashara. Nasubiria tu mvua ziishe nijenge boonge la banda. Hii biashara hainaga ushindani milele.
Indonesia
1
0
1
6
WorldChicken HUB
WorldChicken HUB@WorldChickenHUB·
"Usinipigie Makofi, utachoka"
WorldChicken HUB tweet media
Polski
0
0
1
33
WorldChicken HUB
WorldChicken HUB@WorldChickenHUB·
"Kata kwanza kuna mtu anapiga"
WorldChicken HUB tweet media
Filipino
0
0
1
56
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@meamswahili Alicho kiongea ni sahihi .... Ni moja ya Marketing Strategy cheap zaidi duniani... Hata hapa huwa naona kuna madoni wanasema watu waandike business idea zao mshindi analipwa laki tano au milioni Uno.... Wapuuzi kweli huwa wanaandika wanashindwa kujua wanatoa idea bure ✅
Filipino
1
2
7
1.1K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Industry ya comedy Ina wajinga kibao afu wanahisi kuchekesha ni kujitoa akili.” “Kampuni ishagundua ili iwapate wote kirahisi ni kuandaa shindano mtengeneze content Af mshindi analipwa Unasahau kuwa usposhindani umewatangaza bure.” - Mchekeshaji Said Said Unakubaliana na Kauli ya Mchekeshaji Said Said..?!🤔 #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet media
Indonesia
10
4
200
33.7K
WorldChicken HUB
WorldChicken HUB@WorldChickenHUB·
@BillyTronix1 Technology Bado itam-outshine baada ya miaka 5 hadi 7 hapo. Hiyo Tv haitakuwa tena inafaa kwa standard zake kwa wakati huo.
Indonesia
0
0
0
117
Billy
Billy@BillyTronix1·
Jamaa hataki tena mambo ya kununua TV huko mbeleni 🫡🫡🙌🙌🙌
Billy tweet media
Indonesia
15
31
257
14.3K
WorldChicken HUB
WorldChicken HUB@WorldChickenHUB·
Nipige niwe kama siangalii Camera
WorldChicken HUB tweet media
Filipino
1
0
2
77
WorldChicken HUB
WorldChicken HUB@WorldChickenHUB·
Tunduma MBEYA. You Kill it.
English
0
0
1
25
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Kuna eneo linaitwa DEIRA wafanya biashara wengi au watalii wakifika Dubai huwa laziimu kutembelea hapo Kodi ya Duka kupangisha pale kwa mwaka Kwa Tsh 720,000,000 na pango la duka dogo linacheza kwenye range ya Tsh 360,000,000 kwa mwaka na bado kuna hela ya dalali kishika uchumba
Filipino
5
10
200
8.5K
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Shida ya kuishi mwenyewe ni kwamba kila siku ni zamu yako kupika, kuosha vyombo na kutandika kitanda 😂☺️
Indonesia
36
55
412
20K
LizyRomanio🤪
LizyRomanio🤪@ShirimaYvonne·
Niliwahi kwenda kwenye mnada unaitwa bashnet huko manyara, Nilikuwa nauza viatu, kuna viatu nilitenga nauza 15k. Katokea mama wa kimasai yupo na watoto wake kama wa5 asianze kuniomba nimuuzie kiatu cha elfu 15 kwa shilingi mia tatu😆😆😆😆. Alikaa na mimi hadi jioni akiomba😆
Filipino
52
33
639
37K
Teacher On Duty (T.O.D)
Teacher On Duty (T.O.D)@Official_T_O_D·
Mwanaume Jitahidi uwe na zaidi ya chanzo kimoja Cha pesa zako. N:B Siyo ombi.
Filipino
6
12
44
568