iamfebiani

2.5K posts

iamfebiani banner
iamfebiani

iamfebiani

@BuxMsafi

Author, Story, content and ghost writer & Copywriter

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2020
497 Takip Edilen187 Takipçiler
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@DullahTheking2 Mpeni heshima yake tu.... Kuingia kwenye hiyo mikeka tunapuuzia kwa sababu ya hate tu ila sio rahisi .... Na wabongo wengine ni nyoka wake.... Kushindana na mataifa ambayo ni globally connected, population ya over 200M Mataifa ambayo madoni wanakaa kupush wasanii sio rahisi
Indonesia
0
0
1
74
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@JMariotz Kwa hiyo miaka mitatu wamejaribu kutengeneza play maker wa kuchukua nafasi yake wamefeli .. Umewaona Brazil wanavyo cheza? Rodrigo aloforciwa hiyo namba akafeli.... Wewe ungeenda na nani?
Indonesia
1
0
0
60
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@ibnkiwile14 @GilbertPaul095 Mkuu mimi ni msomi na sijawahi kuajiriwa hata siku moja na sina mpango huo ila hao majanja wanazingua sana... Hapo ukute kaotea Dili la 1m+ kwa mwezi anaanza dhihaka. Ni wapuuzi
Indonesia
0
0
1
15
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
KARIAKOO BWANA!!! Yani kuna watu hawajasoma, hawana maduka wala mishe ya kueleweka lakini hawakosi kulaza Tsh 50,000/= kwa siku. Wasomi endeleeni kusubiri Ajira nyumbani🖐️🖐️🖐️🖐️
Indonesia
33
41
346
13.2K
Adolf Hitler II®
Adolf Hitler II®@MasterOfPainII·
@Elsukay0 😅😅😅😅😅 We ni CHIZI. 1. EDIBILY JONAS LUNYAMILA 2. SAID MAULID SMG 3. EPHRAIM MAKOYE 4. STEVEN MAPUNDA 5. MRISHO NGASA Utachagua ww hapo.
Indonesia
2
0
1
382
EL SUKAYO 🇹🇿
EL SUKAYO 🇹🇿@Elsukay0·
Mnamjua Ramadhan Singano Messi nyinyi? Kwenye historia ya mpira wa bongo hajawahi kutokea winga bora kuliko Ramadhan singano messi Pacome sijui kipre junior, konde boy, mpanzu, sakho, wote hapa wanasubiri
EL SUKAYO 🇹🇿 tweet media
Indonesia
29
16
123
5K
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@Kil0voltI @MkulimaKante @ShijaDenis Nenda Mabibo karibu na geti kubwa la zamani la NIT nadhani la sasa lipo katikati, kuna soko pale supu mpaka ya 500 ipo Pale 2000 kama una maisha magumu unamaliza siku nzima safi Dar maisha rahisi sana yapo inategemea upo wapi japo sometimes mazingira yanakuwa sio salama sana
Filipino
0
0
0
9
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ni vile watu wabishi tu ila kiuhalisia Dar es salaam kuna maisha nafuu kuliko Arusha na Mwanza📌
Eesti
75
33
328
13.5K
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@fintanjr_ Moja ya vitu hautakiwi kufurahia kwenye maisha yako ni Downfall ya mwanaume mwenzako hata kama mna chuki kiasi gani.
Indonesia
1
0
0
23
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Kuna mshkaji alikuwa kajipata sana tu, kapanga Apartment kali tu hapo Upanga, anasukuma ndinga na maisha yanaenda, mara ghafla mambo yamebadilika akauza gari, akahama alipokuwa anaishi, . kama tulivyo walimwengu, kila mtu akaongea lake, wengine wakasema ni kucheza kamali, wengine starehe na kila mmoja aliona fahari kumzungumzia, Kumbe mchizi anapigana vita ambayo hakuna ambaye aliifaham zaidi ya yeye na muumba wake,.. kumbe jamaa ana "Cancer" and ameuza kila kitu kugharamia matibabu yake💔💔.. Itoshe kusema, maisha haya , bora kunyamaza maana huyo unayemuona nje ni sehem ndogo sana ya uhalisia mtu yule anakuwa akiwa ndani kajifungia peke yake akilia usiku na mchana🙌.
Indonesia
7
10
53
1.3K
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@mTusiOriginal Ndiyo maana nauchukia sana Umaskini.... Unakufanya uwachukie watu bila sababu za msingi.
Indonesia
1
2
11
818
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
ukisiikiia nnamchukia mtu bila sababu ndo uyu kaka simjui hajanikoseea Ila niliona interview yake siku moja nikajikuta namchukia anajibu jeuri ana dharau, Mshamba namba moja wa chugga eti figo vato ndio nani wakuu?😂
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
76
13
302
48K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Eid Mubaraq in Adavance..🤝😊
Eng.Mapunda Jr tweet mediaEng.Mapunda Jr tweet media
Eesti
45
40
270
12.2K
Mtu🫡
Mtu🫡@nyema_·
@EngMapundajr ila makafiri mnajipendekeza sana na sikukuu za watu acheni vihelehele🚮
Indonesia
3
0
3
6.7K
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Baada Ya Kufunzwa Na Ulimwengu Sishangai:- 1.Sishangai Mwanaume akiondoka Kwake Akaacha Kila Kitu akamuachia Mwanamke na Akaenda Kuanza Upya Kabisa 2. Sishangai Mtu mwenye Miaka 40 kumlilia baba Yake aliyefariki miaka 10 iliyopita 3. Sishangai Mwana Kukosa Usingizi siku zaidi Ya Mbili 4.Sishangai Mwana Akiwa anasali Machozi yanamtoka na analia Kwa Uchungu sana 5.Sishangai Kuona Mwana hafurahishwi/Halizwi na Chochote tena 6.Sishangai Kuona Mtu Hapewi Support na Yeyote 7.Sishangai Kuona mtu Haaminiwi Na Yeyote 8.Sishangai Kuona Mtu hayupo Sober Mda Wote 9.Sishangai Kuona Mwana Anaondoka Home Na Kupoteza Mawasiliano Kabisa na Kwao 10.Sishangai Kuona Mwana Hajihusishi na Siasa wala Mpira
Indonesia
13
53
279
19.1K
Travis
Travis@TravisKitengo_·
Huyu jamaa anajua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Travis tweet media
Indonesia
72
24
205
20.1K
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@gabyconscious Mimi ni mtoto wa kijijini tena mkulima mzuri tu ila hizo mboga ulizo sitaja nazichukia sana
1
0
0
66
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@Mopay_ @her_son255 @athanas_pius Acha kupoteza muda kwa huyo mkaza kichwa. Anakwambia EPL ni bora... Unamwambia nipe strong reasons hata 3-5 hana.. anakwambia ilipeleka timu 6. Mpaka hapo nilijua napoteza muda na mtu ambaye hayupo tayari kuelewa. Achana naye huyo
Indonesia
0
0
0
12
Mopay 
Mopay @Mopay_·
@her_son255 @BuxMsafi @athanas_pius Sijaona mjadala hapo nitapoteza enery sababu ukisema kama msimu ujao ligi gani ilikuwa bora na ulishapewa matokeo ya ujumla kwa miongo team zenye kubeba makombe za wapi niongezee nini kwenye la mwaka jana na wakati yashaoneshwa zaidi ya mwaka huo
Indonesia
3
0
0
20
#GWIJI🔴
#GWIJI🔴@athanas_pius·
Hizi team za EPL zinazotuwakilisha Huko UEFA mnafanya Iwe Ngumu Kuitete EPL kwamba ndo Ligi Bora Duniani 😃😃
Indonesia
25
16
354
11.8K
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
@Kinjeketilewaii Chakwanza kaa chini tengeneza Mfano wenye logic, Messi ashawai sema kuwa ronaldinho na maradona ni watu walio Mu-inspire kupenda football zaidi, Je Messi sio bora kuliko hao wawili?? Kutangulia kufanya jambo haimanishi wewe ndo the greatest of all time
Indonesia
3
0
2
280
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Lucky Dube alikuwa mwandishi na mwimbaji mkali zaidi kuliko Bob Marley. Sema bahati mbaya alitokea South Africa. Bob ana impact kubwa duniani kwa sababu ya platform, management na alipotoka, lakini ukiingia kwenye 'pure artistry' na vocal range, Lucky Dube is on another level.
Filipino
96
50
580
25.5K
Kyaka
Kyaka@KyakaHaji·
@ErickKamihanda yawezekana una hoja , ila kila nikiisikiliza "Redemption Song" nasema Bob ni Mkali Mnoo , ile ngoma ukiwa Black Man hadi kesho kuna feeling unaipata huwezi pata kwenye ngoma yeyote ya dube
Filipino
9
1
24
1.7K
Ibwe Salim Thekiete
Ibwe Salim Thekiete@SalimuIbwe·
@gabyconscious Nimepata Changamoto ya Umeme Juzi nyumbani kwangu, Sinza. .. Nimeripoti @Tanescoyetu leo ni siku ya Nne hata sijapigiwa simu na Fundi Kila nikifanya Followup naambiwa Mafundi wetu watakupigia... Hapo hakuna Vita, hakuna Bomu, na ni hapo Sinza tu, Kinondoni lkn unatumia siku 4
Indonesia
3
0
0
468
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
🤣inapigwa bomu na ndege zinaendelea kuruka mtumishi, biashara zinaendelea, alert ya bomu inakuja afu baada ya dk5 unaambiwa endelea na mishe zako. Sijui wenzetu wanafanyaje fanyaje!
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible

UAE linapigwa bomu lakini umeme haukatiki; yaani mtaa huo huo bomu lilikodondokea unaona majengo ya hapo taa zinaendelea kuwaka vile vile. Sisi kwetu radi inapiga King'ori umeme unakatika Kisongo, Moshono, hadi KambiYaFisi. Wenzetu wanafanyaje?

Indonesia
10
3
84
8K
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@EsirEid Umechelewa sana kilitambua hili.... Vita zinaanzishwa behind closed doors... Mpaka vita inaisha kuna watu wanakuwa mabilionea. Hapo watu wameingia contracts na watengeneza silaha, magari kama Toyota n.k na bado Kodi za raia... Rothschild family wamekaa mahali wanawachora tu
iamfebiani tweet media
Filipino
1
0
1
70
Football Tweet ⚽
Football Tweet ⚽@Footballtweet·
The player who needed the FEWEST matches to reach 900 OFFICIAL GOALS in football history. 🐐⚽️ Lionel Messi got there in just 1142 matches, while Cristiano Ronaldo needed 1236. 📊😳 That’s almost a 100-game difference. 🤯📉 Things only the king of the game can pull off. 👑🔥🐐✨
Football Tweet ⚽ tweet media
English
49
73
672
24.6K