FAKĒHEAD🦜
22.1K posts

FAKĒHEAD🦜
@___OSCA__
GOD IS GOOD🙏🏿 KAKA MUUZA KOFIA KWA MAHITAJI YA CAP AINA YOYOTE NICHECK 0716595674 Aman of @ManUtd and @YoungAfricansSc
Dar es Salaam, Tanzania شامل ہوئے Eylül 2022
1.5K فالونگ839 فالوورز
FAKĒHEAD🦜 ری ٹویٹ کیا


@Thereal_Kabote Anyway unahitaji mfanyakazi wa vigezo gani? Taaluma gani?
Indonesia

Kuna binti mmoja humu nilitaka kufanya nae kazi baada ya kuona ni mtu anaye jielewa na anafaa kwa position niliyomkusudia
Nikamtafuta na kumuomba tuonane baada ya ramadhan kuisha kwa maongezi zaidi ili nimpe ofa hiyo
Jana napokea screenshot za jumbe zake kwenye group lao anadai namtaka kimapenzi😆
Wallah kudeal na kiumbe kinaitwa mwanamke ni kazi sana🙌
Filipino
FAKĒHEAD🦜 ری ٹویٹ کیا
FAKĒHEAD🦜 ری ٹویٹ کیا

Msanii Zuena Mohamed ambaye ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Migahawa ya SHISHI FOOD, leo Disemba 18,2025 akiwa katika eneo la Mgahawa wake wa Dar es salaam ambao ulichomwa moto katika vurugu za uchaguzi October 29, amesema amewasamehe Watu wote waliohusika kuchoma Mgahawa wake.
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Shilole amesema kwa sasa ameamua kutumia njia ya kufanya Delivery kama alivyokuwa akifanya hapo awali wakati anaanza biashara hiyo ya chakula ili kuifufua tena biashara yake hii ambayo anasema imewakosesha ajira Vijana takriban 200.
#MillardAyoUPDATES

Filipino
























