Aliyepewa ndoto na maono, akapewa jitihada za kuyatimiza, #CloudsMediaGroup ikazaliwa na kufungua Dunia ya wengi.
Baba wa vyombo vya habari za kiburudani #Tanzania, Baba wa vipaji vya wengi aliyesababisha malengo ya wengi kutimia: @josephkusaga alizaliwa tarehe kama ya leo.
Msanii wa muziki wa Bongo fleva @officialnandy amewatoa wasiwasi mashabiki wake (Watanzania) kuhusu ajali ya gari aina ya coaster iliyotokea usiku wa jana maeneo ya Mikumi-Morogoro ikiwa imebeba wanamuziki wa bendi.
"Miti ambayo inatengeneza mifuko ya karatasi ni miti maalum,ikivunwa inapandwa tena, Rwanda na nchi zingine wanafaidika sana na miti yetu kwa wao kutengenza mifuko ya karatasi,sasa ni wakati wetu kufaidi mazao yetu ya misitu,na mifuko hii ya karatasi unaweza kutengeneza mwenyewe
Dar es Salaam tukutane pale Julius Nyerere Centre Jumamosi tarehe 25 na Jumapili 26 May kuaniza saa 1:00Asubuhi -12 jioni. Uko Tayari kuchukua Milioni 120? #EAGT#EAGTConnectedbyMPESA#RefreshedbyCocaCola.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva @mrbluebyser1988 amewataka watu kutumia mitandao ya kijamii kwa faida na kuepuka vitu visivyofaa ikiwemo umbea usio na faida. Msikilize hapa Kwenye #SocialBuzz
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameshiriki katika maadhimisho ya miaka 100 ya idara ya huduma za familia ya Kanisa la Waadventista wa Wasabato ulimwenguni, yaliyofanyika katika Kanisa la SDA, Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam Mei 11.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).