JOSEY

2K posts

JOSEY banner
JOSEY

JOSEY

@j_powershell

TECH💻 || Stay true Be real || @Arsenal fan

شامل ہوئے Eylül 2020
680 فالونگ341 فالوورز
JOSEY
JOSEY@j_powershell·
@mreno255 Unataka ule million 200 Kwa shilingi 90 ausio
Filipino
1
0
1
163
Mr. CEO 💰
Mr. CEO 💰@MrCEO001·
Imagine, MUNGU anaangalia ni mwanamke gani anafaa kuzaa mtoto mteule, mwenye nguvu, na nuru ya dunia anamchagua Maria mwanamke aliye tuza mwili wake(bikira), mwana maombi na msafi wa nafsi. Hakika Mungu kwenye vitu serious anakuwa very selective 😁🙌 Good morning everyone😊🖐
Indonesia
32
51
81
3K
JOSEY ری ٹویٹ کیا
Rezam Six
Rezam Six@rezam06·
Omba Mungu jumapili yako ikabarikiwe kwa kila utakachoenda kukifanya. Good morning🙏
Indonesia
27
36
84
1.9K
JOSEY ری ٹویٹ کیا
Waziri Wa Wapwa Og
Waziri Wa Wapwa Og@_rwanda_adamOg·
"Tenga muda wa kushukuru na kufurahia kidogo ulichonacho hapo ndio baraka zinapoanzia"✍️ #ElimikaWikiendi
Indonesia
15
35
90
1.3K
JOSEY ری ٹویٹ کیا
FOSSE MINDZ
FOSSE MINDZ@Foseveni47·
Mwenyezi Mungu ametupatia nafasi nyingine ya kuiona siku ya leo. Good morning 🌄
Indonesia
14
20
36
731
JOSEY ری ٹویٹ کیا
Botafogo👑
Botafogo👑@IWillLive_X·
"Amani ya Moyo Wangu ni Muhimu kuliko kueleza Kila uamuzi ninaoufanya" Mo dewji
Indonesia
8
15
34
745
JOSEY ری ٹویٹ کیا
Rais Wa Mbeya
Rais Wa Mbeya@heis_kanny·
Jumapili nyingine tena umeshindwa kwenda kanisani kwa sababu ya uchovu wa pombe uliyokunywa jana club, Mungu akusamehe sana
Indonesia
6
23
62
2.6K
JOSEY ری ٹویٹ کیا
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Mungu katuamsha leo tena, leo atukumbushe tu kwamba sisi sote ni wadhambi, Hivyo tusiwe tunahukumu wengine kwa makosa yao yaliyojulikana hadharani ambayo sisi tunayafanya sirini. Good morning👋
Indonesia
39
61
117
2.7K
🇩 🇾 🇦 🇧 🇦 🇱 🇦 🇹🇿
Tofauti Ya Mahusiano Duniani Kati Ya Italians, Americans, French vs WaTanzania Fungua threads/ Uzi ⤵️🧵 Mahusiano ya Waitaliano🇮🇹: Siku ya 1 = Sex Siku ya 2 = Sex tena.
🇩 🇾 🇦 🇧 🇦 🇱 🇦 🇹🇿 tweet media
Indonesia
29
29
225
38.1K
JOSEY
JOSEY@j_powershell·
@macare_46 Kaka bado mapema sana😂😂,wait until December
Filipino
3
0
1
8
MACARE
MACARE@macare_46·
Kwahiyo mke wangu kikoba mnavunja lini malaika wangu
MACARE tweet media
Indonesia
1
7
13
173
JOSEY
JOSEY@j_powershell·
@Savasec mchumba asomeshwi,kafanya jambo la kipuuzi sana basi angejifunza ata Kwa watu waliomtangulia,wanawake huwa Awana huruma,pia kafanya kosa kubwa sana kujiua,
Indonesia
0
0
0
270
Wakunesa
Wakunesa@Savasec·
Jamaa kasomesha Dem wake Chuo zaidi ya miaka 4. Na walipanga akmaiza Chuo wanafunga ndoa,Leo tumemzika bhn😭 kinachoniuma alikunywa sumu kisa Mwanamke ana mimba ya mwanaume mwingine. Na mbaya zaidi Mwanamke alimwambia hana mpango na yeye.😭 Kama hakuna umuhimu wa kumsomesha mpenzi wako usifanye hvyoo.
Filipino
20
6
99
12.8K
Firearms Reviews
Firearms Reviews@SeekNaturalLife·
My bro anapitia kipindi kigumu mno najaribu kuvaa viatu vyake nashindwa, sijawahi ku experience maumivu ya namna hii. Bro mke wake alitakiwa kufanyiwa operation ya kichwa, gharama ilikuwa 2.5M, baada ya kufanyiwa two days later shem anafariki, Kufuatilia mwili linakutwa deni la 10.2M msiba mwingine. Haraka haraka imepatikana 5.2M ikatolewa bado wakaendelea kushikilia mwili, Wanasema itafutwe hata 2M Kisha watafutwe wadhamini wa kuhold deni linalobaki💔 Shem anaacha watoto watatu akiwepo huyu pichani. Lakini mmoja wa mwisho ni WA miezi 8½ tu.💔 You need a very strong heart to hold this situation😭😭
Firearms Reviews tweet media
Indonesia
43
23
288
18.5K
britishboe
britishboe@british77boe·
Nataka nishiriki kila marathon itakayofanyika hapa Nchini hope ntampata mke wangu huko
Indonesia
1
1
0
150
JOSEY ری ٹویٹ کیا
Family Nurse 🌝
Family Nurse 🌝@Litelight9·
God did... We won ❤️ Thank you my first Twitter customers.... For trusting us SPOTLESS CLEANERS DODOMA, best cleaning company central zone 2025 - 2026.
Tanzania 🇹🇿 English
5
24
78
8.4K
JOSEY
JOSEY@j_powershell·
Kwenye hii Dunia wewe kuwa na Pesa afu uwe na Mamlaka/Cheo basi umemaliza kilakitu
Filipino
0
0
0
8
MsOMi PH
MsOMi PH@hauleisaac84·
Tanzania watu wengi wanakosa platform ya kushare what they are going through wakiwa kwenye nyakati ngumu kwahiyo ukiona mtu anapost mtandaoni issue yake wwe jaribu kumuelewa tu Watu wanateseka 🙌
Indonesia
18
36
165
4.7K
MAESTRO 🎭
MAESTRO 🎭@maestrochance_·
@j_powershell Kaka 😂 nmeshindwa kupiga mluzi tu oya mbususu ni yamoto zaidi ya mvuke qmmk 😂
Filipino
1
0
0
47
MAESTRO 🎭
MAESTRO 🎭@maestrochance_·
Kuna mlimbwende nmekutana nae jana amevaa prova kubwakubwa nikadondosha swaga imagine chap tu akajaa Leo namuita geto kavaa vilevile kuanza uchakataji si anamimba tena kubwa tu Nimepiga ivoivo alafu hata sjamuuliza chochote
MAESTRO 🎭 tweet media
Eesti
14
21
80
2.9K