JOSEY
2K posts

JOSEY
@j_powershell
TECH💻 || Stay true Be real || @Arsenal fan
Katılım Eylül 2020
680 Takip Edilen342 Takipçiler

Nenda kabatini kwanza unanifanya napoteza focus kubabakoo 😂💔🚮🚮 nashindwa kubet mikeka yangu naishia stake za za kindezi bila mafanikio
NB;nikiona Kwenye TL yangu mikeka ya huyu mtu unaenda kabatini mazima


MRENO_255@mreno255
Leo siku ya mwisho kubabakoo🙏🏿🙌🏿
Indonesia

@EsirEid Natuma mimi tena zaman nilikua natuma full ila baada ya kuona dunia imechanganyikiwa ndo natuma view once ya rungu
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Kaka Wanaume Hatutumi View once Tunapokea tu…
Wewe unatuma kama nani??
Au zile tuhuma ni za ukweli,mkuu?
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact
Watu wa humu kujikuta watakatifu kumbe ndo washenz dunia, hivi nan hajawahi tumiana video za mahaba na mpenz wake mm natumiana naye nyeti kila napojisikia si ndo mapenz, alafu umetumiwa view once unashea ili iweje majitu mengine ushamba wa mali kali utakuja kuyaua kumamako
Filipino
JOSEY retweetledi
JOSEY retweetledi

"Tenga muda wa kushukuru na kufurahia kidogo ulichonacho hapo ndio baraka zinapoanzia"✍️
#ElimikaWikiendi
Indonesia
JOSEY retweetledi
JOSEY retweetledi
JOSEY retweetledi
JOSEY retweetledi

Jamaa kasomesha Dem wake Chuo zaidi ya miaka 4. Na walipanga akmaiza Chuo wanafunga ndoa,Leo tumemzika bhn😭 kinachoniuma alikunywa sumu kisa Mwanamke ana mimba ya mwanaume mwingine. Na mbaya zaidi Mwanamke alimwambia hana mpango na yeye.😭
Kama hakuna umuhimu wa kumsomesha mpenzi wako usifanye hvyoo.
Filipino

My bro anapitia kipindi kigumu mno najaribu kuvaa viatu vyake nashindwa, sijawahi ku experience maumivu ya namna hii.
Bro mke wake alitakiwa kufanyiwa operation ya kichwa, gharama ilikuwa 2.5M, baada ya kufanyiwa two days later shem anafariki,
Kufuatilia mwili linakutwa deni la 10.2M msiba mwingine.
Haraka haraka imepatikana 5.2M ikatolewa bado wakaendelea kushikilia mwili,
Wanasema itafutwe hata 2M Kisha watafutwe wadhamini wa kuhold deni linalobaki💔
Shem anaacha watoto watatu akiwepo huyu pichani. Lakini mmoja wa mwisho ni WA miezi 8½ tu.💔
You need a very strong heart to hold this situation😭😭

Indonesia
JOSEY retweetledi

@j_powershell Kaka 😂 nmeshindwa kupiga mluzi tu oya mbususu ni yamoto zaidi ya mvuke qmmk 😂
Filipino


















