𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬
30.7K posts

𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬
@Eradius_
Expert at giving advice I never follow.
Online Tham gia Şubat 2014
6.1K Đang theo dõi7.8K Người theo dõi

#TajiriLaKihaya
Kwa kikosi kilichoanza ni dhahiri Arsenal 1st Half tulikua tunatafuta DRAW tu…
Kipindi cha pili tunaingiza MASHINE kutafuta Ushindi wa magoli mengiiiiii…
#COYG
Filipino

@ayubu_madenge Yaani hivi ndo wanatuongezea hasira. Madrid walizipa mpaka paa ila walikaa.
Filipino

Wakati Iran ilizuia Mlango-Bahari wa Hormuz na kufanya mambo mengi kuhusu mabomu yao, mengi yalisemwa kuhusu wao kuwa wakubwa kuliko Marekani na ushindi wao bandia ulipokelewa na washangiliaji wao.
Kwenye karatasi, walionekana kuwa upande wenye nguvu zaidi.
Hadi hapo, Trump aliamua kuhamisha kipande kimoja tu kwenye ubao wa chesi na mengine sasa ni historia.
Kwa hatua hiyo moja tu (kuziba Mlango-Bahari wa Hormuz) Trump aliharibu propaganda na mabadiliko yao yote.
Wakati wa vita huwa muhimu kila wakati. Kama Iran ingetumia Mlango-Bahari wa Hormuz mapema; hakuna mtu angegundua sasa kwamba Trump anaweza kuamuru kwa urahisi kinachotokea katika bahari ya Arabia, Bahari ya Hindi,
Ghuba ya Oman na Mlango-Bahari wa Hormuz.
Trump anatufundisha tena kwamba kujizuia mara nyingi si jibu bora la uchokozi.
Indonesia

@mangekimambi @LarryMadowo Kaka wa Africa Mashariki na Dada wa Taifa🙌
Indonesia

Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary @LarryMadowo, my Kenyan brother.
We covered a wide range of topics, from Tanzania’s October 29th massacre and where the country stands today, to what lies ahead and Meta’s removal of my accounts. It was a deeply engaging and productive evening.
It was a true honor to meet in person a journalist who works without fear, using his voice to speak for those who cannot.



English

@HabiibYahyaa Milio inlmeanza kutoka baada ya Marekani kuziba nayeye
Eesti

Waziri wa ulinzi wa China, Dong Jun, amesema,'China imejitolea kwa ajili ya amani na utulivu duniani na inafuatilia hali ya Mashariki ya Kati kwa makini, Meli zetu zinaingia na kutoka kwenye maji ya Mlango-Bahari wa Hormuz, Tuna mikataba ya biashara na nishati na Iran, Tutaheshimu na kutarajia wengine kutoingilia mambo yetu, Hormuz ipo chini ya Iran na Mlango upo wazi kwaajili yetu tuu
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Trump akiwa mubashara kutoka Ofisi ya Oval ameweka muda mpya wa wiki mbili kwa Iran kufikia makubaliano, akionya kwamba hali “haitakuwa nzuri” iwapo Iran haitakubali kufikia tarehe 27 Aprili.
Zikiisha hizi anaongeza mbili tena 😅😀😃
Iran Kiboko🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Indonesia
𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬 đã retweet

Rais Donald Trump "ni Rais asiye eleweka katika matamshi yake na msimamo wake akisema kitu ni kama utani ila ni kweli"
Ayatollah Ali Khamenei aliambiwa aache kuua waandamanaji awape uhuru wao wa kuandamana ila IRGC waliendelea kuuua
Trump akamwambia asifanye hivyo tena kuwaua waandamanaji ila bado akaua
Trump akamwambia usiue watu kwanza upo kwenye mchakato wa utengenezaji wa nyukilia sitisha mara moja ila yeye akasema usitupangie sisi ni nchi huru
Trump akamwambia tena acha mchakato wa urutubishaji wa uranium na usiue waandamanaji bado akaua vibaya na kuendelea na mchakato wake
Ayatollah Ali Khamenei akasema usitutishe bwana hakuna kitu unaweza nifanya nimejiandaa vya kutosha usiingilie mambo ya taifa letu fatilieni mambo ya taifa lenu
Kumbe Ali Khamenei alikuwa ameambiwa na Russia pamoja na China watamulinda hakuna ndege ya kukatiza kwenye anga lako tutandugua
Trump aliamuru jeshi liende kumtoa kabisa asionekane Ali Khamenei
Ndani ya sekunde ya 60 tu Ali Khamenei alifukiwa pamoja na wasaidizi wake Ali fia pale pale
Ilisikitisha sana sekunde tu ya vita aliyo jiandaa nayo miaka 42 anaukufa bila kutua neno
Pole sana kwa kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei
Trump hatabiliki Maduro naye kilimpata
Alimuonya Maduro Aache kutesa watu mara moja awape uhuru wake. Ila hakumsikiliza tena akamkejeri kabisa kama unataka nifuata nipo hapa.
Trump akamuonya tena Maduro akamwambia hatishiki kwa lolote na amejipanga vizuri kukabiliana na majeshi ya marekani
Trump akamuonya tena akamwambia unataka nikuoneshe Marekani inaguvu ipi Maduro akajibu kwa dharau kama unaweza nifate nipo hapa nimejipanga vizuri sana
Masikini Maduro alikamatwa usiku akiwa amelala kama kuku na ulinzi wake wote uliondolewa
Trump hajawahi kutabilika kabisa kwenye maamuzi yake labda yapigwe bunge au Pentagon kupitia CIA ije report ambayo bado mambo sio mazuri.

Indonesia













