Symon Goodluck

346 posts

Symon Goodluck banner
Symon Goodluck

Symon Goodluck

@GoodluckSymon

4rever young

Tham gia Şubat 2023
270 Đang theo dõi47 Người theo dõi
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@HildaNewton21 Kwa viwango vyote vya kidunia, Yaani hata Malaika na Mitume na Maswahaba wote watoke mbinguni leo kisha Waulize nani alihusika na jaribio la mapinduzi la 29 October 2025? Jibu lao la kwanza itakuwa ni CHADEMA kwa mazingira yoyote, kisha wataanza kutajwa wengine huko.
Indonesia
1
0
0
35
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii ilikuwa Oktoba 29, Gen-Z waliandamana kwa Amani kabisa na ukisikiliza hapa wanasema madai yao. Lakin Ndul Idd Amin Mama anasema Waandamanaji walikuwa hawajui kwanini wameandamana mara sijui walifuata mkumbo, nyambafuuu 🚮
Indonesia
10
83
312
4.4K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@godbless_lema @rugemeleza Kwa viwango vyote vya kidunia, Yaani hata Malaika na Mitume na Maswahaba wote watoke mbinguni leo kisha Waulize nani alihusika na jaribio la mapinduzi la 29 October 2025? Jibu lao la kwanza itakuwa ni CHADEMA kwa mazingira yoyote, kisha wataanza kutajwa wengine huko NEVER AGAIN.
Indonesia
0
0
0
65
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
ANAANDIKA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA DR. @rugemeleza Kwa vyovyote itakavyotolewa na kusema Tume ya Jaji Chande Othmani Juu ya Vurugu na Mauaji ya October 29, 2025 ni batili na haramu tokea ilipoundwa. Kwa sababu zifuatazo: 1. Imeundwa na Samia Suluhu Hassani ambaye ndiye mtuhumiwa namba Moja kwani ndiye alitoa amri ya kuwapiga risasi waandamanaji na watu ambao hawakuwa waandamanaji. 2. Samia alisema wakati wa Kampeni haramu za Udanganyifu Mkuu kuwa wanaosema hakutakuwa na uchaguzi wakumbuke kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na kuwa hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi. 3. Waandamanaji hawakuwa na silaha za moto ajabu yake walipigwa risasi kinyume kabisa na taratibu za kimataifa na nchi yetu za kukabiliana na waandamanaji ambazo ni matumizi ya mabomu ya machozi, maji ya kuwashawasha, hewa ya pilipili na ikilazimika risasi za plastiki. 4. Kuwekwa kwa zuio la kutoka nje na kutembea lililotangazwa na IGP Camillius Wambura ilikuwa kinyume Cha Sheria kwani hana mamlaka hayo. 5. Kuzimwa Kwa mtandao wa intaneti kwa siku sita ilikuwa kinyume Cha Sheria. Kwa kuzimwa kwake mauaji mengi yalitokea na yalisababisha watu kutokupata taarifa za kiwakati juu ya maovu makubwa yaliyofanywa na vyombo hivyo vya dola. 6. Kuzimwa kwa mtandao na zuio la kutoka nje sehemu nyingi za nchi yetu ilimaanisha hata wafanyakazi na mawakala wa Tume ya Udanganyifu Mkuu ya Jacobs Mwambegele haikuwa na uwezo wa kupata matokeo ya uchaguzi huo haramu. Ajabu yake Mdanganyifu huyo Mkuu asiyeheshimu kazi na maadili ya ujaji akatangaza matokeo kama kwamba uchaguzi ulifanyika na kura kuhesabiwa na matokeo kutangazwa katika Kila kituo na hatimaye kutumwa kwa Tume hiyo haramu! 7. Stargomena Tax ambaye alikuwa Waziri wa Ulinzi katika serikali ya Samia wakati wa udanganyifu huo ni mjumbe katika Tume hiyo ya Chande! Ni kanuni ya kisheria na haki kuwa huyu ana mgogoro wa kimaslahi na ni sehemu ya waliopaswa kuchunguza imekuwaje akageuka kuwa mchunguzi. 8. Jaji Othmani Chande na Jaji Ibrahimu Juma wanajua, kama wajuavyo wanasheria na wasomi wote, kuwa huwezi ukawa hakimu au muamuzi katika kesi yako mwenyewe(Nemo judex in causa sua) sasa imekuwaje wawe katika Tume ambayo ina kasoro hii kubwa? Je, si inafahamika kuwa pale Tume inapokuwa na kasoro hiyo yote iliyoyafanya hata kama ni mazuri, kisheria Huwa batili? 9. Wakati Tume inaanza kazi Samia ametoa matamshi ya kuingilia kati au kutoa majibu kwa Time ikiwa ni pamoja na kusema "nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi" na kuwa "kwa nini wazazi hamkuwazuia watoto wenu kutoka nje?". Sasa hapo nini kinachunguzwa? 10. Tume ilizuia uwazi wa watu waliotoa maelezo yao kwa kuvikataza vyombo vya habari kuendelea kutoa maelezo ya waathirika wa mauaji hayo ya kinyama yaliyofanywa na vyombo vya dola. Kukosekana kwa uwazi ulikuwa mkakati wa kuleta giza na kuzuia ukweli wa mauaji hayo kufahamika na hivyo kile kitakachosemwa na Tume kuwa eti ndicho kilichosemwa na waathirika kichukuliwe kuwa ni cha ukweli. 11. Tume yenyewe imeanza kampeni ya kuuandaa umma kupokea ripoti yake na imekuwa na wasemaji wake. Hiyo inaashiria nia mbaya ya Tume hiyo. Ni kwa msingi na sababu hizo nasema kuwa Tume hiyo ni batili na chote kitakochotolewa nayo ni batili.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
8
84
309
6K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@MankindUwezo Yaani afu cha kujiuliza hakuna kiongozi yoyote au mwanaharakati aliyepata madhara ya Oktoba 29 daaaah, hawa jamaa ni walaghai sana aisee
Indonesia
1
0
0
87
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
Mama Samia ana huruma sana. Ningekuwa mimi mpaka sasa wangekuwa wanatumia usafiri wa boda na bajaji na mafuta yalivyopanda hivi wangenyooka. Usafiri mnautumia ninyi harafu mnadanganywa na kunguni wa chadema kuuchoma kwa maslahi ya matumbo yao??
Dr Kwala Liwengo tweet media
Indonesia
34
6
15
2.8K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@ChademaTZ2 Afu hawa CHADEMA wasije kuwa na Agenda za siri za kutuuza kwa mabeberu hawa kwanini hivi vitaasisi vinajitokeza sahivi huku Nchi ikiwa shwari, afu hichi Kitaasisi kinafanya kazi kwa misingi ipi usije ukawa ni mkakati wa kututoa kwenye hali yetu ya amani iliyopo
Indonesia
0
0
0
43
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde. Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania inalenga kukutana na makundi mbalimbali, ikiwemo vyama vya siasa na asasi za kiraia, kwa lengo la kukusanya na kufuatilia taarifa kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025. Kwa upande wa CHADEMA, ujumbe uliongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara, Mhe John Heche, akifuatana na Katibu Mkuu, Mhe John Mnyika; Naibu Katibu Mkuu Bara, Mhe Amani Golugwa; Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Wakili Ali Ibrahimu; pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mama Suzan Lyimo. Katika kikao hicho, CHADEMA iliwasilisha msimamo wake rasmi kama ulivyoazimiwa na Kamati Kuu ya chama , na kueleza kwa kina matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kutokea kabla, wakati na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025. Chama kinasisitiza umuhimu wa uchunguzi huru na wa haki, uwajibikaji kwa wote waliohusika, pamoja na kulindwa kwa misingi ya demokrasia, haki na utawala wa sheria nchini.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
19
128
591
14.3K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@swahilitimes Safiii sana ni chombo kilichokuwa kinachapisha taarifa ambazo hazibalance pande mbili safiiiiiiii TCRA
Filipino
2
0
2
3.9K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha kwa siku 90 leseni ya maudhui mtandaoni iliyotolewa kwa kituo cha Jambo Online TV, kwa kukiuka sheria na taaluma ya uandishi wa Habari. TCRA imesema chombo hicho kilichapisha maudhui yaliyopotosha umma kuhusu hali ya matukio mbalimbali yanayoendelea nchini.
Swahili Times tweet media
Indonesia
85
38
462
47.7K
Symon Goodluck đã retweet
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Huyu dada yukogo smart sana kwenye masuala ya uchambuzi wa siasa 🔥🔥 Anaongea fact tupu🔥🔥
Indonesia
41
29
96
8.3K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Ukimaliza kumwagia ndani kwenye kondomu usitupe ovyo kimbia toilet kaimwage shahawa zako zote uioshe ndio uitupe utakuja kunishukuru sana
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Indonesia
15
7
118
17.9K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@Sativa255 Ukikosa ajenda unajikuta unakusanya kila kitu.......hii video ilikuwa ya mwaka 2023 na ilitokea mkoani Kagera kipindi hicho RC akiwa CHALAMILA akiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera na tayari alishachukuliwa hatua.
Indonesia
0
0
1
38
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Huyu Mwalimu KIBAKA hasira ya kulipwa Mshahara wa laki tatu kwa mwezi anamalizia kwa watoto wetu na hawa Waalimu ndio wanalipwaga 20K kuiba Uchaguzi, Tafadhali tusaidiane kupata taarifa zake pamoja na hao wanaoshangilia.
Indonesia
74
97
601
40.3K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@Ntobi_ @godbless_lema Chama kishapoteana hiki ona kwa sasa kinaongozwa na Mwenyekiti Kivuli Maria Sarungi kapandikiza chuki baina ya wanachama hadi hatuelewani tena kama zamani......siku zote wastaafu ni mhimili wa Chama lakini sisi tumewatenga wazoefu wote daaaah hamna Chama hapa, wamebaki wapigaji t
Indonesia
1
0
1
697
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
Mangi @godbless_lema, unakumbuka nilivyokuambia kuhusu huyu dogo? Ulikuwa unajaa povu bure. Mungu amethibitisha kile nilichokueleza. Wakati mwingine punguza wenge kidogo, bro! 😀😄
NTOBI tweet media
Indonesia
27
10
357
65.8K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
HUU NI UJAMBAZI. Hii Ni Sera nzuri lakini ni gharama kubwa sana. Barani Afrca Nchi kama Ghana Wananchi hulipa sehemu ndogo ya ada ya Bima Tsh 10,000 kwa mwaka. Rwanda Wananchi ulipa Tsh 14,000 kwa Mwaka. Inakuwaje Tanzania tulio na utajiri wa rasiliMali ikiwemo na URANIUM—tuchangie Tsh 150,000? Hawa VIBAKA Hawana huruma kabisa na watanzania.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
90
83
915
74.1K
HER
HER@heroinelincoln·
Tunamshukuru Sana Rais Samia Kwa kutekeleza na kufanikisha ahadi Yake Kwa watanzania
Indonesia
1
14
17
458
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@HildaNewton21 CHADEMA sio familia.....mpangaji wa ratiba ni familia .....kama unaona ni dili basi ufiwe wewe ili upange ratiba yako Dada
Indonesia
0
0
2
33
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
HUJUMA MSIBA WA MUASISI WA CHADEMA MZEE EDWIN MTEI. Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei. Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku ya Mazishi ambapo CHADEMA itapewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi saa tatu asubuhi wakati ratiba rasmi ya msiba itaanza saa tano asubuhi. Mhe. Mbowe na watu wake wanafanya haya yote kwasababu wamepanga kumualika Nduli Idd Amin Mama ili aje kutumia msiba wa Mzee Mtei kujisafisha baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10 siku ya Oktoba 29. Yani huyu Nduli Idd Amin Mama ukiachia mbali kwamba ameuwa maelfu ya Watanganyika na kuwazika kwenye makaburi ya halaiki, yeye ndo amembambika kesi ya uhaini Mhe. Lissu ambae ni Mwenyekiti wa Chadema ambayo iliasisisiwa Mzee Mtei, akaona haitoshi akaifungia CHADEMA isifanye Siasa, CHADEMA ambayo muasisi wake ndo huyu huyu Mzee Mtei ambae Idd Amin Mama anataka awe mgeni rasmi kwenye mazishi yake, jambo ambalo naamini hata Mzee Mtei huko aliko hawezi kuunga mkono huu ujinga. Jambo moja ambalo Mhe. Mbowe na watu wake wanapaswa kujua ni kwamba kwenye huu msiba CHADEMA sisi sio wavamizi, huu msiba unatuhusu asilimia mia moja hivyo hatuwezi kukubaliana na hujumu za aina yoyote. Mzee Mtei alianzisha hiki Chama, hajawai kukisaliti wala kukiumiza Chama chetu bali alikipigania kwa nguvu zake zote mpaka kimefika hapa kilipofika leo, ambapo CHADEMA imekuwa Tumaini la Watanzania. Ametangulia mbele za Haki akiwa na ushujaa wake so lazima tumzike kwa hadhi na heshima zote. Hatuwezi kukubali mtu ambae mikono yake inaninuka damu za Watanganyika aliowauwa kikatili aje kunajisi msiba wa Muasisi wetu wa Chama.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
80
126
918
61.3K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@joeselasini Huu ni uongo, kama ni kweli kwa nini taarifa haijaeleza tukio hilo limefannyika eneo gani
Filipino
0
0
1
67
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hawa ndio polisi wanaoajiriwa kipaumbele kikiwa kadi za CCM. Basi wapimwe akili kabla ya kuonyesha kadi zao maana kumkamata mwananchi kwa kuomba maji ni ukichaa. Hivi mamlaka zinaona haya? Polisi mnaiteteaje CCM kwa jambo wazi na la lazima kama hili?
Indonesia
25
117
471
22.8K
MOST WANTED JR
MOST WANTED JR@UchafuziM·
Yupo Kenya 🇰🇪 hatafika Tanzania 🇹🇿 kwasababu sio sehemu Salama.Hata huyo Anorld Swaziniger tuliohaidiwa na yule mgombea na sasa ni waziri hatafika Tanzania kwasababu sio sehemu salama.@SuluhuSamia ameifikisha nchi ya Tanzania sehemu MBAYA sana.
MOST WANTED JR tweet mediaMOST WANTED JR tweet mediaMOST WANTED JR tweet media
Indonesia
13
22
162
14.4K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@rose_mayemba Hahahaaaaa yaani mnahangaika kinoma hadi haieleweki mahitaji yenu ya msingi ni yapi
Indonesia
0
0
0
66
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Hongera @samia_suluhu_hassan kwa kushinda tuzo ya kuwa mtu Dhalimu na Katili Mwaka 2025. Hongereni watanzania kwa kupiga kura kwa kishindo kuhakikisha huyu Mwanamke Muuaji anashinda tuzo hii. HISTORIA IMEANDIKWA.
Rose Mayemba tweet media
Filipino
13
74
322
5.3K
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@Ntobi_ Ukanda na Ukabila unakusumbua Mzee, Agenda kama hizi sio za kuungwa mkono kama Taifa ambalo kwa muda mrefu tumekuwa na umoja na hakuna nafasi ya ukabila na Ukanda
Indonesia
0
0
1
34
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya Ziwa—mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Tabora na Simiyu. Cha kushangaza zaidi, mkoa mmoja wa Dodoma una Mawaziri wanne. Hii ni dhihirisho la wazi la kutengwa kwa Wasukuma na wakazi wa Kanda ya Ziwa katika uamuzi wa masuala nyeti ya Taifa, licha ya kanda hii kuwa kubwa kwa idadi ya watu, eneo na mchango wake wa kiuchumi. Nahene —ndoho tabu!
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 07 Januari, 2026.

Indonesia
208
46
448
98.8K