Mwami Kitentya
1K posts

Mwami Kitentya
@LuthKitentya
Inspirational speaker Peer educator Activist
Bubango, Kigoma Tham gia Haziran 2013
506 Đang theo dõi237 Người theo dõi

@juliusmassabo Kila mwaka watu wanatoka nyuma yenu kaka mpaka wanachukua kombe 😂
Indonesia

@Ndolezi_Petro Inshaallah muda si bado..!
Afu wewe hujachukua au ndio unasubiri majimbo yagawanywe ?😀
Indonesia
Mwami Kitentya đã retweet

THIS IS SIIIIIIIIIIMMMMBBBAAAAAAA 🦁
The Pride of Tanzania! 🇹🇿✨
Ubaya Ubwela 🔥
#NguvuMoja
#CAFCCwithMicky
#Simba




Filipino
Mwami Kitentya đã retweet

@eastafricatv Kabudi ajifunze kwa Uto😁 kubabake kweli huu ni utoto unaosemwa upo pale Utopwengwaa
Filipino

#MICHEZO Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said amefunguka mara baada ya kutoka kwenye kikao kilichofanyika katika ofisi za Dimba la Mkapa.
#KariakooDerby #EastAfricaTV
Filipino
Mwami Kitentya đã retweet
Twaweza East Africa has appointed Anna Bwana (@BwanaAnna) as its next Executive Director. After a rigorous open search process, Bwana was selected and will take up her new post on 15 May 2025.
She replaces @aeyakuze, who has become the CEO of the @opengovpart.
Learn more: twaweza.org/twaweza-appoin…
#ChangeNiSisi

English

Mwami Kitentya đã retweet
Mwami Kitentya đã retweet
Mwami Kitentya đã retweet

Wanafunzi wawili wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Mzumbe, Christopher Honeywick na David Mwijage, wamebuni mfumo wa kidigitali wa kupiga kura, unaolenga kuondoa changamoto za ucheleweshaji wa matokeo katika chaguzi za serikali ya wanafunzi.
Mfumo huo unaonyesha matokeo moja kwa moja (Live Votes) na una kipengele cha usalama kinachozuia mtu kupiga kura zaidi ya mara moja, hivyo kuhakikisha haki na uwazi.
"Teknolojia inabadilisha dunia, tunapaswa kuendana nayo. Mfumo huu unarahisisha upigaji kura, unapunguza gharama na unaongeza uwazi," amesema Honeywick leo Ijumaa Februari 7, 2025 wakati wakionyesha mfumo huo shuleni hapo.
Mwalimu wa Sayansi ya Kompyuta, Joshua Mbilinyi amesifu ubunifu huo akisema kuwa unathibitisha jinsi vijana wanavyoweza kutumia teknolojia kutatua changamoto halisi.
Mkuu wa shule, Baraka Kupela ameahidi kuendeleza vipaji hivyo kwa kutenga chumba maalumu cha Sayansi ili kusaidia wanafunzi wabunifu kuboresha mawazo yao kwa vitendo.
#tunaliwezeshataifa
#mwananchiupdates
Indonesia
Mwami Kitentya đã retweet
Mwami Kitentya đã retweet

📢 @NextGenTanzania invites you to submit sealed bids for the sale of prime properties in Dar es Salaam. This is your chance to own valuable real estate at Mikocheni and Mbezi.
Submission deadline: 19th Feb 2025.
For details, contact us at
📞 +255 659 166 440.
English

@lifeofmshaba Mzee ameanza kuongea tu @TunduALissu wamekata umeme hadi majumbani 😂😂😂
Indonesia

Kwa nini CHADEMA wanaendelea kutumia umeme wa TANESCO wakati umeshakatika zaidi ya mara 6
Umeme unakatika hapo kwenye sehemu dogo ya mlimani City tu
Anaongea Lissu umeme umekatika, imefikia hatua mpaka mabalozi wana record huu upuuzi mnaofanya
ondoeni TANESCO wekeni General mafuta ni chini ya 1 million moja kwa nini isiwekwe jenereta ?
Indonesia

@YerickoNyerereT Tukajua mnamakizana nae leo kwebye usahili 😂
Indonesia

Ndio ujue Lissu nae Jumanne tunamalizana nae
Liberatus Mwang'ombe@Liberatus80
I’m speechless! Rose Mayemba, Twaha Mwaipaya, Askofu Mwanamapinduzi wamekatwa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu. Hawa wote walikuwa wanam-support Lissu. Halafu wanao msupport Mbowe wote wamepitishwa: 1. Assenga 2. Daniel Naftali 3. Mungai 4. Kaduma Assenga amekuwa anamtukana Lissu matusi ya nguoni.












