Bavovna đã retweet
Bavovna
5.2K posts

Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet

Watermelon 🍉 = strong erection
Pineapples 🍍= Good skin
Cucumber 🥒 = Good liver
Apples 🍎 = good digestive health
Bananas 🍌 = improves sex drive and healthy blood pressure
Oranges 🍊 = boost the immune system with their high vitamin C content.
Grapes 🍇 = improves heart health
Strawberries 🍓 = reduce inflammation and promote skin health.
Coconut 🥥 = supports brain health and weight management.
Mangoes 🥭 = contribute to healthy skin and immune function
Avocado 🥑 = helps lower bad cholesterol and supports heart health
Blueberries 🫐 = Blueberries improve cognitive function and support heart health
Eat fruits, Take walks, avoid processed sugar and junk. Sleep well.
English
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet

Kwa Mujibu wa Chande aka Jaji Makande, haka katoto pia ka miaka 10 kalipewa mafunzo ya kigaidi na kaka andamana na silaha za jadi… na Polisi wema wakakaua ili kulinusuru Taifa la Tanzania
Wafuasi wa CCM wakawa wanaafiki kwa kusema, “hebu fikiria polisi wasinge fanya hivyo, nini kingetokea? Dogo angepindua Nchi na Kuleta Machafuko”

Tito Magoti@TitoMagoti
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, huyu mtoto aliuwawa kwa kupigwa risasi sababu alilipwa na kupewa mafunzo ya kuandamana. Rest easy, kid. Mioyo yetu inavuja damu🙏🏽😭
Indonesia
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet

Kama kuomba msaada ni aibu then kulala kwa kuchomwa sindano ni mateso zaidi kuliko aibu. 💔
Please nisaidie kwa chochote napitia mengi nisiyoyaweza.
M PESA 0764122090 REGAN 🙏🏽
M.D (🅨)@ReganTesla_
Zaburi 27:10 Zaburi 55:22. Hata katika njia ngumu Mungu hatatuacha.. Atatuvusha 🙏🏽
Indonesia
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet

Huyu ni kijana wa Kitanzania akipigwa na vijana wa Afrika Kusini..
Huyu ameenda kutafuta maisha kwasababu hapa kwetu haoni kesho yake..
Ameacha Nchi pekee yenye Tanzanite Duniani, Nchi ya tatu kwa dhahabu, Nchi yenye gesi, makaa ya mawe, chuma na ardhi ya kutosha, ameacha maji na mbuga za wanyama..
Leo anafanyiwa hivi na watu ambao walipata hifadhi yao hapa wakati wakipigania Uhuru wao..
Leo Nchi yetu iko mikononi mwa kikundi kidogo na wachina huku vijana wetu wakifanywa kama mbwa kwenye Nchi za wageni.!!!
Nimeumia sana x.com/jimNjue_/statu…
Filipino
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet

In my role as Patron of the @AWLNetwork, I joined former Ethiopian President @SahleWorkZewde and Executive Director, Joyce Mends-Cole on a network visit to Dar es Salaam, at the invitation of President @SuluhuSamia of Tanzania. We engaged stakeholders to better understand the causes and implications of the October 29 unrest.



English
Bavovna đã retweet

Pres @SuluhuSamia: Hawa (pichani) wako jela kwa makosa makubwa ya ugaidi kwa maelekezo ya Sabaya na genge lake, wanadai. Walikamatwa Hai wakati wa uchaguzi wakihusishwa na CDM & Mbowe. Waliteswa sana - see how weak they were, & the scars. Wako jela Segerea.


Indonesia
Bavovna đã retweet

Je, wale waliopoteza viungo vyao vya mwili? Waliokatwa masikio? Waliogongwa misumari miguuni? Waliofanya ukatili wa kutisha kama kulawitiwa wakati wakimtetea Mzee MBOWE akiwa mbunge wa HAI, wamepewa faraja au kuombwa msamaha? Wengine walilazimika kutelekeza familia zao na kuwa wakimbizi kwa kuhofia usalama wao. Hali hii inajenga picha kuwa Mzee MBOWE ameweka maslahi yake binafsi mbele na kusahau gharama kubwa waliyolipa wafuasi wake. Hii ni dhihaka kwa watu wote ambao waliwahi kuamini katika njia zake. Hii inatuogopesha ambao tumewahi kumpambania hadharani. Hata hivyo, SABAYA anatakiwa kuomba msamaha mwenyewe, siyo kuombewa msamaha. Kimsingi, msamaha ni jambo la kibinafsi na la kimaadili kati ya mtu aliyekosea na yule aliyekosewa. Msamaha wa kweli unahitaji sauti ya mkosaji mwenyewe.


Indonesia
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet

@prossoff Chama Cha CHADEMA Kwa Watanzania Ni Imani Kama Ilivyo DINI Kamwe Hakiwezi Kufa
Chadema Ilisimikwa Rasmi Kwenye Mioyo Ya Watanzania Mwaka Jana Mwezi January
Sijutii Muda Wangu Na Bundle Langu Nilivyotumia Kupush Kampeni Za TUNDU LISSU Na JOHN HECHE Washinde Ule Uchaguzi.
Indonesia
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet
Bavovna đã retweet












