
@Eric__Bernard Ukikojoa hapa lazma mashine you itoke na madude meupe meupe kama maziwa mtindi shenzi sana manzi type hii😭🙌🚮😂😂😂
suriama
7.4K posts

@foreigny99
A SELF MADE WITH NO PRICE TAG.




Life goes on I guess 🤨

















Mwenzako JOKER naye alikua hivi hivi… ila Wapwa Tulimuokoa! Na wewe tutakuokoa kwa lazima! Hatuwezi kubali kuona Mtangazaji mahiri na makini kama wewe unaangamia… Nafsi inatusuta mno! Tutakusaidia hata kwa viboko! Ukirudia Kumpost matattooo tena- mafile yake tunayashusha… ya kuanzia mbezi mwisho hadi kimara… hadi Arusha na moshi… Sio vitisho … ni wajibu wetu kukuokoa… Hatutakubali UMUOE MSIMBE mwenye tattoo shingoni,mkononi,kifuani,pajani,kiunoni…

