Janeth Rithe Kitima

7.1K posts

Janeth Rithe Kitima banner
Janeth Rithe Kitima

Janeth Rithe Kitima

@JaneRithe

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Dar es Salaam, Tanzania 加入时间 Ağustos 2018
259 关注5.1K 粉丝
Janeth Rithe Kitima
Janeth Rithe Kitima@JaneRithe·
Mwenyekiti wa chama ACT WAZALENDO Anawatakia sikukuu njema ya Eid ul fitr
Janeth Rithe Kitima tweet media
Indonesia
0
4
7
85
Janeth Rithe Kitima
Janeth Rithe Kitima@JaneRithe·
Chama cha ACT Wazalendo kinawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla heri na baraka za Sikuu ya Idi-al Fitri. #EidMubarak
Janeth Rithe Kitima tweet media
Indonesia
0
1
1
41
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
Zitto Kabwe kafa kifo kibaya kwenye siasa bado akiwa na umri mdogo sana kisiasa Kuendekeza njaa
Indonesia
70
109
935
36K
Janeth Rithe Kitima 已转推
Ngome ya vijana_Official
Ngome ya vijana_Official@NgomeyaVijana·
TAARIFA KWA UMMA Leo Machi 17, 2026 M/kiti wa @NgomeyaWanawake, @JaneRithe na Naibu katibu @SavelinaMwijage wamekamatwa na Polisi baada ya ibada ya Kumuombea marehemu Dafroza K Jakob nyumbani kwao Rwamachu Kijiji cha Bwera Kata ya Buyango wanadai wameelekezwa na OCD wa Missenyi.
Ngome ya vijana_Official tweet mediaNgome ya vijana_Official tweet media
Indonesia
0
4
6
133
Janeth Rithe Kitima 已转推
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
VIONGOZI WA ACT WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUFANYA MISA BILA KIBALI CHA POLISI Kiongozi wa chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy amekamatwa jioni hii pamoja na viongozi wa Ngome ya Wanawake na wa Mkoa wa Kagera wakati ya misa ya kumuombea Marehemu Dafroza aliyekufa kwenye mikono ya polisi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Wengine waliokamatwa ni Katibu wa Mkoa wa Kagera R. Kashonde, Mwenezi Shaf Hassan, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa @JaneRithe, pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Ngome ya Wanawake Taifa Savelina Mwijage. Inadaiwa wanashikiliwa kwa tuhuma za kufanya misa bila kibali cha @tanpol. #MachoziYaMamaDeniLaTaifa 💜
Indonesia
8
5
16
512
Janeth Rithe Kitima 已转推
Kassala
Kassala@Vicent_Kassala·
📍 Bukoba “Wengi tuliamini tumepata Rais mwanamke tutakuwa tupo salama. Badala yake tuko hatiani. Inawezekana kufikia kesho utasikia Janeth hayupo. Maana mimi na kiongozi mwenzangu tunatafutwa!" Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake @JaneRithe #MachoziYaMamaDeniLaTaifa @ACTwazalendo
Indonesia
2
3
5
229
Janeth Rithe Kitima 已转推
Ngome ya Wanawake
Ngome ya Wanawake@NgomeyaWanawake·
𝐔𝐳𝐢 𝐊𝐨𝐧𝐠𝐚𝐦𝐚𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐍𝐠𝐨𝐦𝐞 𝐲𝐚 𝐖𝐚𝐧𝐚𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐥𝐢𝐥𝐨𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐚 𝐊𝐢𝐠𝐨𝐦𝐚 Leo Machi 15, 2026 @NgomeyaWanawake imefanya kongamano kwa madhumuni ya kuomboleza na kuwaombea dua Watanzania waliouliwa Oktoba 29, 2025. #MachoziYaMamaDeniLaTaifa @ACTwazalendo
Ngome ya Wanawake tweet media
Indonesia
1
6
8
495