Trojan Horse 🎭

60K posts

Trojan Horse 🎭 banner
Trojan Horse 🎭

Trojan Horse 🎭

@anon_codex

💎Multi-talented Proficient and creative | Software Developer | Mobile App dev🎭

加入时间 Haziran 2019
929 关注12.7K 粉丝
置顶推文
Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭@anon_codex·
I will never be broke in my life. 01/01/2026🔐
English
1
8
39
4.9K
Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭@anon_codex·
Nipo mliman toka saa nne asubuhi vijana hawashiki simu Ikifika saa saba naenda kulala
Trojan Horse 🎭 tweet media
Trojan Horse 🎭 tweet media
Indonesia
4
4
54
2.5K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Pesa ipo mezani 5M mtu na gari lake kasema 4hrs net bila sekunde hata moja Inatafutwa 5M , Masaa matatu haiwezekani tushakubaliana
RaHeeM tweet media
Indonesia
15
13
108
13.3K
Beast
Beast@emabilly2001·
Nimeona ubishani kuhusu mzee wa coding @anon_codex kutoka Dar to Moshi katoka Dar saa 7 usiku na kufika moshi' kilimanjaro saa 11 alfajiri...kwa kutumia Toyota crown 👑 mwenyewe anaiita ndege ardhini Je inawezekana kweli kutumia 4hrs to moshi eti?
Beast tweet mediaBeast tweet media
Indonesia
1
0
10
927
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Humu ndani nimeona mjadala watu wanasema unaweza kutoka Dar kwenda Moshi ni masaa 4 tu kwa gari. Dar to Moshi ni KM 550 plus Hamna hamna apo humo njiani utembee speed 120 plus Kwa barabara ya Moshi ile miundombinu yake huwezi kwenda speed hiyo muda wote.
Indonesia
32
25
334
16.2K
Danny Ngudungi
Danny Ngudungi@DannyNgudungi·
@anon_codex @MarekaMalili Acha ubishi bro... Mimi nakupa hadi masaa 5 na bado hutoboi! LC 300 au LC 200 haitoboi kwa hayo masaa 3.. So usiku ndiyo safe zaidi ya mchana?? Kwamba usiku unaweza ona 100Meters mbele??? Hiyo gari yako ni ipi hadi iruke humps kwa speed ya 160kmhr??
Indonesia
1
0
0
33
Mankakidoti
Mankakidoti@mankadolly·
@anon_codex Achana na watumia private ,kuna hawa abood nao ni mwisho
Filipino
2
0
2
381
Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭@anon_codex·
Namuambia mtuu nimetoka Dar saa saba usiku nimefika Moshi saa 11 alfajiri nimetumia masaa 4 anakata Kwani haiwezekani ?
Trojan Horse 🎭 tweet media
Indonesia
33
15
133
40.7K
Mubah
Mubah@Bin____Saleh·
@anon_codex Kwa ile Gari yako hautoboi hayo Masaa bwana
Filipino
1
0
1
300
Almas
Almas@almasemilius·
@anon_codex Naungana na wote wanaosema umuoe
Filipino
1
0
0
100