置顶推文
.
212 posts


@dr_bashiru Tatizo lenu ni unafki. Wakati JPM anakopa, kwa siri, akidanganya ni mapato ya ndani, mlikaa kimya. Ni nini kinawafanya mseme sasa? Ni kwa sababu Mama hafanyi siri, anakopa kwa uwazi, amewapa Uhuru wa kuongea na kukosoa Uhuru ambao wakati wa JPM tuliukosa na wewe ukishadadia!
Indonesia

Wana CCM wenzangu na Watanzania kwa ujumla, kwa hali ilivyo sasa, Je! mnadhani Rais @SuluhuSamia ataweza kushinda 2025 kwa uchaguzi huru na wa haki?
Indonesia

Kama Rais wangu @SuluhuSamia anakubalika kwa kiwango kikubwa, kwanini wapambe wake hawataki wengine wachukue fomu ya urais 2025?
Kama anakubalika woga wa kushindana unatoka wapi?
Indonesia

@ExMayorUbungo @godbless_lema @HecheJohn @ChademaTz Ujumbe huu ni mkia tu wa nguruwe aliyefichwa mwili mzima. Waseme yote sasa waache kunonng'ona.
Indonesia

"Watu Wazuri HAWAFI,ndiyo maana Mzee Kikwete na Kinana wapo mpaka leo" YUSUPH MAKAMBA
Siyo Maneno ya @godbless_lema au @HecheJohn,na Wala siyo Mkutano Mkuu wa @ChademaTz
Tusihili limetukanwa na Mwana-CCM mwenzio mbele ya Mkutano Mkuu wa CCM
Wala siyo kwa bahati Mbaya

Filipino



