Post

TUJIFUNZE KITU HAPA....!!🧵 Starehe sio dhambi. Ni vile tu, kila kitu kizuri kinahusishwa na shetani. Kuna Watu leo wanaogopa kutoka outing, kisa wanaogopa kueleweka vibaya na jamii inayowazunguka. Na watanzania tulivyo wa ajabu, ukimkuta mtu kwenye maeneo fulani fulani hivi, unamuuliza; Na wewe unakujaga hapa? Unafanyaga hivi? Kwa kweli Mimi nimeamua kuishi Maisha Yangu. Nafanya KAZI kwa bidii, na starehe nitafanya kwa bidii. Tunawahitaji watakatifu wasiowatenga wadhambi. Tunawahitaji watakatifu wanaopenda michezo. Tunawahitaji watakatifu wanaopenda siasa. Tunawahitaji watakatifu wanaoenda bar. Kuna Hawa wanaojiona second Jesus, kwao kila kitu Cha furaha Ni dhambi. Au basi ngoja waendelee kuwa second Jesus, lakini nawahakikishia tutakutana mbinguni. Usisahau Kunifollow @mudryk_jr 🔂❤️




R3 PGA Tour POTDs ⛳️🌟 ⛳️⛳️ Happy Moving Day ⛳️⛳️ Tony Finau - O 4.5 Bob Jordan Speith - O 4.5 BoB Justin Thomas - O 5.0 BoB BoB Match: Fitzpatrick v Clark (MORE) BoB Match: Fleetwood v Cole (LESS) +R. McIlroy - U 18.0 Par-5 Strokes 🍀 2-DAY FREE TRIAL For My VIP Discord 👇 whop.com/betgenius-pro #golf #PGATour #PrizePicks #Underdog #sports #betting #GamblingTwiiter #sportsbettingpicks #sportsbetting




































