
Aisee kutengeneza biashara mpaka isimame ni kazi sana. Kuna Boss wangu mmoja alikuwa anaingia kazini saa 12 Asub na kutoka saa 3 usiku.
Kiufupi tulikuwa tunamkuta na kumuacha.
But, Guess what!! Jama alikuwa makini sana, miaka miwili ya mwanzo hakuwa tu anatengeneza biashara bali MIFUMO (Systems) ya biashara yake kujiendesha akiwa yeye hayupo.
Sasa hivi, nam-admire sana. Anaweza kusafiri kwa ajili projects zake zingine hata miezi na miezi lakini biashara yake inajiendesha.
NB: Build a system!
Indonesia
