Edwin F.M

9.3K posts

Edwin F.M banner
Edwin F.M

Edwin F.M

@EdwinMjeru

MSCA Research Fellow | EM Alumni 🇹🇿🇫🇷| Author| Business & Data Storytelling Coach| Learning & sharing lessons on Mind-Philosophy-Success & Failures.

Tanzania Katılım Eylül 2020
2.4K Takip Edilen5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Habari ndugu Mwanamafanikio, Naitwa Edwin Francis Memirieki (EFM).Naandika kuhusu vitu ninavyojifunza na kufanya kila siku: • Business storytelling • Subconscious mind • Habits & systems for success • Wealth building strategies • Scholarship opportunities • Communication skills • Life philosophy • Research & business tips Kama unapenda kujifunza, kufikiri tofauti na kukua kila siku, karibu! Follow @EdwinMjeru tuendelee kujinoa na kuwa bora katika maisha yetu. Unlock and live your dream!
5
11
64
6.2K
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Hauwezi kubadilisha maisha yako ndani ya siku moja, LAKINI: Unaweza kubadilisha mtazamo wako juu ya maisha yako ndani ya siku moja. Na huu ndiyo UKUTA mgumu kwa wengi wetu katika safari ya KUTOBOA. Jipe challenge weekend hii, grab nakala ya E-book ya NITATOBOA kisha kisome na kuchukua hatua. Tuma neno NITATOBOA kwa SMS au Whatsapp kwenda namba 0764 191504 ili kupewa utaratibu. Uwe na usiku mwema!
Edwin F.M tweet media
Indonesia
0
5
9
196
Edwin F.M retweetledi
Liber Nehemiæ
Liber Nehemiæ@iamNehemia·
@EdwinMjeru Mara nyingi unachokichukia ndio tobo lako lilipo.
Filipino
0
1
1
30
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Muda mwingine ili upige ulifanikiwe katika jambo fulani inabidi ufanye kile unachochukia kufanya. Na siyo tu kufanya kile unachopenda kufanya.
Indonesia
2
6
29
391
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
“Ili mambo YABADILIKE ni lazima; NIBADILIKE mimi kwanza”. —Jim Rhone.
Indonesia
2
5
24
247
Edwin F.M retweetledi
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Kwa mujibu wa tafiti, GEN Z wako “Concerned sana kuhusu pesa na kutoboa haraka”, LAKINI; Ndiyo kizazi pia ambacho, “Wana Ustahimilivu mdogo kuhusu pesa na maisha kwa ujumla”. Millennials Ustahimilivu wao unakaribiana na ancestors wao Baby boomers 🙌 Source: SunLife Hong Kong
Edwin F.M tweet media
Indonesia
1
5
15
399
Edwin F.M retweetledi
Remote🖱 2
Remote🖱 2@X_birthdayy·
@JMagobe06 @EdwinMjeru Simply plant plants on your yard in undeveloped countries and get paid for carbon control by developed countries!! Hapo kati mchakato ndo unalalamikiwa na wadau
English
0
1
2
35
Edwin F.M retweetledi
HZ
HZ@HzMnkai·
@EdwinMjeru Hakika . Mchakato ufurahiwe
Filipino
0
1
1
37
Edwin F.M retweetledi
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Wakati unasubiria kufurahia na kusherekea ‘your BIG win’ mwishoni. Kila siku furahi, appreciate na kuthamini ‘your small wins’. It worth it. Kuna nguvu. Kuna muda. Kuna juhudi. Kuna rasilimali. Umewekeza. Hata kama unaona matokeo kidogo. Be happy with it. Feel the process.
Filipino
3
11
36
419
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
“Social comparison” ni changamoto yetu kubwa hasa vijana katika zama hizi za mitandao. >Inatengeneza presha ya ndani ya kutaka vitokee papo kwa papo bila kuipa muda na mchakato nafasi. >Inatia wengi presha ya kufanya vitu kwa kujaribu ‘ku-fit in’ na siyo kufanya kwa sababu za msingi. >Inadunisha uwezo kwa baadhi ya watu kwa kujihisi tu wao siyo bora au hawana uwezo kama akina fulani. >Ni chanzo mojawapo cha matatizo ya afya akili, kwani husababisha msongi wa mawazo kwa kujihisi umechelewa, una gundu, au hauwezi ku-make. Na madhara mengine kede kede. Muhimu: Acha kujilinganisha na watu wengine katika namna hasi. Hata ufanikiwe kiasi gani, hata upate pesa au mali kiasi gani siku zote kuna mtu atakuwa juu yako, na kukuzidi. Kwa hiyo, tembea kwa spidi yako, na kwenye mwelekeo na barabara yako. Kikubwa una MALENGO na ‘You are making a progress’. Keep going. EFM.
Indonesia
0
12
27
727
Edwin F.M retweetledi
Liber Nehemiæ
Liber Nehemiæ@iamNehemia·
Every sunrise is a reminder that destiny is still under construction. Na kuhusu Kuvikwa Taji ya Ushindi ni swala la MUDA.
Filipino
0
4
18
164
Liber Nehemiæ
Liber Nehemiæ@iamNehemia·
Jamuhuri ya watu wa X wakiamua kuku - puuza hakuna kurudi nyuma.
Indonesia
1
0
11
131
Mene Mene Digital
Mene Mene Digital@DigitalMene·
@EdwinMjeru Bwana Rober kiyosaki, anakwambia, "if I go bust, the bank goes bust, not my problem " alikubali kufirisika plus Debts zaidi ya $1 bill.
Indonesia
1
1
4
145
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
“Usiache kazi ili kufukuzia NDOTO. Fanyia kazi NDOTO yako mpaka ifike mahala inaweza kukulipa zaidi ya kazi. Kisha ndipo uache kazi” - Robert Kiyosaki. Vipi unakubaliana naye?
Indonesia
9
22
102
2.6K