Post

HabariTech
HabariTech@HabariTech·
⚡Ukimya wa huwa una sababu Tumetambua kwamba watu wengi wamekuwa wakitamani sana kujihusisha na teknolojia hasa katika nyanja ya programming. Lakini wengi wanashindwa kwakuwa hawafahamu wanatakiwa kuanzia wapi.
HabariTech tweet media
Indonesia
9
91
171
0
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
⚡Nilitulia ili niandike roadmap nzuri inayowafaa wengi kufata ili kuweza kujifunza programming. Mpaka sasa kwa wale wachache ambao wamekwisha soma makala hii, kuna baadhi ambao wameshatambua wanatakiwa kufanya nini ili kujua programming. habaritechtz.com/namna-ya-kujif…
Indonesia
1
4
17
0
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
⚡Katika makala nimeandika hatua ambazo beginner kabisa wa programming anatakiwa kufata ili aweze kuja kuwa developer mzuri. Wengi huwa wanadhani kwamba ni lazima uanze na C++, ila huwa haiko hivyo na haina ulazima. Pia hata haina ulazima sana wa kwenda chuo ili kuwa dev mzuri
Filipino
1
1
14
0
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
⚡Sambamba na makala hiyo nakuandalia guide ambayo imejaa sehemu zaidi 100 unazoweza kutembelea kujifunza programming. Ndani ya hii guide kuna links za kukufikisha sehemu ya kujifunza course za Harvard pamoja na MIT.
HabariTech tweet media
Indonesia
1
9
26
0
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
⚡Guide hii nitajitahidi itoke 13th August, Jumamosi ya kesho kutwa na nitaisambaza kupitia Whatsapp kwanza kwa wale watu waliolipia kupata vitabu vya Hacking, Android Development, programming, Machine Learning pamoja na Networking. WhatsApp Yangu. wa.me/255753607400
Filipino
1
2
10
0
Paylaş