
Bila kuwa Fisadi na mwizi huwezi nunua kiwanja Dar es Salaam. Kiwanja Goba sqm 400 Milion 150, ivi kwa kipato cha muajiriwa mshahara milion 1 kwa mwezi ataweza kumiliki kiwanja Dar kweli. Izi Bei zinatokana na nini mbona haziendani na maisha halisi, au ni mm ndo sina ela.















