
Uganda kwenye Training za PYPA chini ya KIC, nimefurahi kukutana na kijana mwenzangu kutoka @ACTwazalendo tumeongea mengi, kubwa zaidi tumesisitizana kuhusu umoja wetu pale linapokuja jambo la nchi.
Hongera sana kaka @zittokabwe vijana wako wamewiva kisiasa, hawatukani hovyo.

Suomi
