
Mama anauwa watu kwa kutumia njia nyingi sana ili kupoteza ushahidi.
MASUDI MAMBO
1.6K posts

@MASUDI_MAMBO
PA to the presidential Candidate- CHAUMMA | Strategic Man | Entrepreneur | UDSM Alumni | Quran 36:82 | Political Scientist

Mama anauwa watu kwa kutumia njia nyingi sana ili kupoteza ushahidi.

PROGRAM FOR YOUNG POLITICIANS AFRICA 2026, Jinja, Uganda Thank you PYPA/KIC Alhamdulillah, we are done +254 see you soon +55 see you at the end of this year










Mabadiliko hayajengwi na watu wachache-yanajengwa na kila anayetoa alichonacho. Leo toa tone lako. Kesho tutajivunia nguvu yetu ya pamoja. #ToneTone




Mara nyingi ninapokutana na wazee au viongozi waliowahi kulitumikia taifa au chama hasa UVCCM au TYL (TANU Youth League) napenda sana kujifunza kutoka kwao, hasa kwa kusikiliza na kuuliza maswali. Siku moja, mzee Ulimwengu alitusimulia tukio ambalo lilinifurahisha na kunifundisha sana. Alieleza kwamba wakati fulani wakiwa bungeni, kulijitokeza tabia ya baadhi ya wabunge kutaka kuwahi kuondoka ili wakale nyama, hasa mwishoni mwa wiki. Hali hiyo ilisababisha wengine kuanza kuwaharakisha wabunge waliokuwa wanachangia kadri muda wa kikao ulivyokuwa unakaribia kuisha. Anasema siku moja aliposimama kuchangia, alimwomba Spika awaruhusu wale wanaotaka kwenda kula nyama waondoke, ili wabaki wale waliokuwa serious na masuala ya taifa waendelee kujadili mambo ya msingi. 😄😄🙌🏿💪🏿 Hiki ni kisa kimoja kati ya vingi kilichonifundisha sana, hasa ukizingatia alikuwa kiongozi ndani ya Jumuiya ya Vijana ya TANU. Heri ya kuzaliwa Mzee wetu watoto wako tunajifunza mengi kutoka kwako kupitia maandishi yako,simulizi zako,interviews zako nk. Mungu akujalie afya njema tuendelee kujifunza zaidi.