EACOP YAFIKIA ASILIMIA 86, YAKAMILIKA AGOSTI 2026
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi Uganda–Tanzania (EACOP) umefikia asilimia 86 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika Agosti 2026, ukichochea mapato, ajira, uwekezaji na usafirishaji wa mafuta Afrika Mashariki.