ICON🤠
1.9K posts

ICON🤠
@ChileIcon
Die Trying🙏//Street SOUL💔// Bless Us..👊

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

Kinachiendelea juu ya Mex Cortez , Climax Bibo na Baghdad kinapaswa kuchukuliwa very positive kuanzia wasanii wenyewe hadi wadau. Game inachangamka na sio chuki, diss track na magoma yakitoka ndio unyama for the game.

#HipHopFamily Raha ya Hip Hop battles Ma Emcee wanazidi kutuonyesha walicho nacho Safi🙏🏿 Tz Ina rappers wengi sana wanaweza kutoa Ngoma Kila siku kwa muda wa mwaka mzima . But 👇🏿 #TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿♂️

Msodoki wanamsema yeye hajali anatoa tu ngoma afu hafanyi interview😆