Zizzou 27🏁

18.1K posts

Zizzou 27🏁 banner
Zizzou 27🏁

Zizzou 27🏁

@ZizzouSule

Eng | Football | Enterpreneuer | Hip-Hop 🎵

Katılım Nisan 2019
1K Takip Edilen3.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Zizzou 27🏁
Zizzou 27🏁@ZizzouSule·
Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi. Kazi ya kwanza aliyokutana nayo kwenye ghorofa moja hapo kariakoo ilikua ni kubeba zege. Kwa jinsi alivyofika tu kazini walivyotizama umbo lake mafundi wakamuambia “Dogo utaweza kweli?” 😂👇
Indonesia
119
91
1.3K
119.7K
Zizzou 27🏁 retweetledi
Magokoro
Magokoro@fivara_·
Dhana ya kwamba game ya Hip-Hop Bongo ili ichangamke diss tracks na beefs zinahitajika napingana nayo. Ushindani unaohitajika ni ule wenye afya kwa utamaduni wenyewe. Watu washindane kwenye pen game, miradi, bars, shows nk. Diss tracks na beefs zinarudisha nyuma.
Indonesia
2
6
30
1.4K
Zizzou 27🏁
Zizzou 27🏁@ZizzouSule·
Alitaka anipitie shetani kuna pahala niende nae…..nikakataa, nikamuambia mbali!
Filipino
0
0
1
77
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Nilichelewa sana kujua namna ya kula "healthy" Nawatamania sana waliojua ishu za diet kitambo na wanaziishi kama sehemu ya maisha yao. Huu mwaka nimewekeza kwenye AFYA yangu-moja ya kitu nilianza nacho ni DIET yangu izingatie Heathy na kupiga tizi back to back. KILO 11 zimepotea mpaka sasa. Hii ni challenge ya mwaka mzima MUNGU akinipa kibari. 🙏
Indonesia
74
88
1.4K
66.2K